nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....
chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,
Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri ni kwa nini? ,,,,,,na ukifuatilia maisha yao hasa ya ndoa na malezi ya familia wako vizuri sana.,,
Haya huku kanisani vipii mbona watoto hawaendi kanisani??? ati wako Twisheni....Twisheni??? Maisha hayataki A's.....wala kufaulu Shule.....Maisha yanataka kumcha Bwana/Mungu
Kwa yeyote anaye MCHA MUNGU hakika hufanikiwa.
Kuibuka kwa Makanisa ya mbogamboga ni matokeo ya kufa kwa NDOA ZA KIKRISTO.
Kwanini? kwa sababu KANISA limekosa msaada.
Kwa Mfano mtu NDOA ya Kikatoliki ikimshinda huyoo anatimkia kwa hao ambao si vyema kuwataja hapa.
Wanawake wengi ndio wahanga wa sakata hili kwa kuzurura kwenye makanisa ya mbogamboga wakidhani msaada utapatikana huko...kwa sisi wanaume kuna mawili aidha uendelee kubaki hapo kanisani au usiende kanisani kabisa.
Wengine wanaishi nyumba moja kwa huku nje wanaonekana wako sawa lakini huko ndani kila mtu na chumba chake.......au kama wako chumba kimoja ni mzungu wawili au mmoja chini mwingine kitandani ili watoto wasijue.
Mama mkwe ni balaa lingine katika misukosuko ya NDOA na mara nyingi hii inasababishwa na MALI.....hapa naomba nisizungumzie sana manake mifano mingi ni ya uchungu na maumivu sitaki niwatonyeshe baadhi yenu mpo humu.
Kwa nini nasema kanisa limeshindwa?? hii ni kutokana na hali ya Dunia kwa sasa Maaskofu, Wachungaji na Mapadre hasa wa nchi za Magharibi kwa sasa wanafungisha ndoa za JINSIA moja tena ndani ya kanisa MADHABAHUNI.....hii ni laana na machukizo makubwa,,,,,na haya yote yanasababishwa na nini???? JIBU NI........wameacha KUMCHA BWANA.
Kanisa limeshindwa kukemea dhambi ya ushoga ndio maana laana inaanza kutafuna NDOA kwa sababu NDOA ni MPANGO WA MUNGU wala si wa MWANADAMU......
Kanisa ni mwili wa KRISTO haya yanayoendelea ni dhihaka kubwa na matukano mbele za MUNGU....SODOMA na GOMORA ilipigwa sababu ya aina hii ya dhambi,,,,
Watu wanachukulia poa lakini kipigo kimesha anza MAUMIVU YA NDOA ndani ya mioyo ya watu ni MAKUBWA SANA SANA.
TALAKA kwa NDOA ya Kikristo limekuwa ni jambo la kawaida sana,,,,,maandiko yanasemaje?? MUNGU anachukia TALAKA sasa yanayoendelea kwa sasa ni AIBU ya namna gani hiii???
Kwa wale wanaoruhusiwa TALAKA na kuoa wake wengi mbona wanastawi???,,,,,,,,,Je? wao wanamcha BWANA? jibu ni NDIO......angalia familia zao..... angalia biashara zao....... Elimu ya Twisheni hawana lakini ya madrasa wanayo sasa hapo kipi muhimu?? KUMCHA BWANA.
Hali kadhalika kwa wanaoenda Sunday school na wanaozingatia mafundisho katika makanisa rasmi mbona hufanikiwa???Tazama kwa wale wasio kwenda kanisani wengi ni wasomi lakini familia kwishnei mtu ana Phd, lakini yuko Mbulu anakunywa gongo.....kwa nini?...kwa sababu wamekataa KUMCHA BWANA.
HII NI KWA KIFUPI SANAAA.