Kawaida kabisa ata huyo mmoja tuu watu wanapita nae sembuse uwe na wake wanne.Ngoja niandae na panga kabisa, naona unaleta utani kwa mke wangu... 😎😎😎😎
Ila ukiwa na wake ziadi ya mmoja, elewa kabisa umeolea jamii ya masela. Maana ukienda Upande wa bimkubwa, wahuni wanalala Upande wa bibi mdogo.
Mbususu hizi tuna share tuu mwanawane. Ukipewa ridhika. Mambo ya kujidai fbi unataka kujua nani mwengine anatomber hapo ni ujinga