Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

kwahio Uislamu ni nyumba ndogo ya Ukristo?

mbona hawatuheshimu sasa hawa madogo?
waislam wanaitwa watoto wa mama mdogo kwa Hajiri, yule kijakazi wa Sara mke wa Ibrahimu
 
Kuibuka kwa Makanisa ya mbogamboga ni matokeo ya kufa kwa NDOA ZA KIKRISTO.
Kwanini? kwa sababu KANISA limekosa msaada.

Kwa Mfano mtu NDOA ya Kikatoliki ikimshinda huyoo anatimkia kwa hao ambao si vyema kuwataja hapa.

Wanawake wengi ndio wahanga wa sakata hili kwa kuzurura kwenye makanisa ya mbogamboga wakidhani msaada utapatikana huko...kwa sisi wanaume kuna mawili aidha uendelee kubaki hapo kanisani au usiende kanisani kabisa.

Mama mkwe ni balaa lingine katika misukosuko ya NDOA na mara nyingi hii inasababishwa na MALI.....hapa naomba nisizungumzie sana manake mifano mingi ni ya uchungu na maumivu sitaki niwatonyeshe baadhi yenu mpo humu.

Kwa nini nasema kanisa limeshindwa?? hii ni kutokana na hali ya Dunia kwa sasa Maaskofu, Wachungaji na Mapadre hasa wa nchi za Magharibi kwa sasa wanafungisha ndoa za JINSIA moja tena ndani ya kanisa MADHABAHUNI.....hii ni laana na machukizo makubwa,,,,,na haya yote yanasababishwa na nini???? JIBU NI........wameacha KUMCHA BWANA.

Kanisa limeshindwa kukemea dhambi ya ushoga ndio maana laana inaanza kutafuna NDOA kwa sababu NDOA ni MPANGO WA MUNGU wala si wa MWANADAMU......
Unakosea sana kuita "makanisa mboga mboga,"
Alafu mfano umetolea mfano ndoa ya kikatoliki!

Mama wakwe ni janga jipya kwenye ndoa nyingi, makanisa yote kwa ujumla wao yanapaswa kuwakemea kwa ukali na kuacha kufarakanisha ndoa za watoto!
Wakumbuke ndoa ni Agano na Mungu anaheshimu Agano.
 
Hoja iko sawa, ila mvunjiko wa ndoa uko pande zote hata kwa hao waislam ni mwendo wa talaka tu, huko unakosema makanisa ya mbogamboga na hayo ya kwako mwendo ni kuachana fasta japo ndoa hizo zilifungwa kwa gharama kubwa. Jibu ni kwamba mmomonyoko wa maadili ya ndoa na familia yameporomoka kwa kiasi kikubwa. Single mama wanazidi kuongezeka ndani ya jamii nzima, heshima ya mahusiano ya kindoa imepuuzwa kwa kuingiziwa siasa za uanaharakati wa haki za kijinsia
 
Kawe Kiongozi kwenye Mapenzi na Ndoa za kikristo....

Ohhhhhh nimekosea

Kawe kiongozi wa mapenzi na ndoa za Waislam

Walesema wewe ni Mfano kaongoze kila kitu huko
 
Wee kuna mwanaune ga i hatombewiii demu au mke wake tz hii?
Wee kama hutaki mkeo tumgegede hakikisha unahamia kabul, herat jalalbad au kandahar.
Ngoja niandae na panga kabisa, naona unaleta utani kwa mke wangu... 😎😎😎😎

Ila ukiwa na wake ziadi ya mmoja, elewa kabisa umeolea jamii ya masela. Maana ukienda Upande wa bimkubwa, wahuni wanalala Upande wa bibi mdogo.
 
Kitanda hakizai haramu, wewe umejuaje kama ni mtoto halisi wa unayemuita baba yako?- Hebu siku moja kamuulize mama yako akuhakikishie!
Mama yangu alitolewa bikra na dingi na siku hiyo hiyo akapata na mimba juu 😊😊😊. ( hizi ni story kutoka kwa bibi )..........
 
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....

chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,

Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri ni kwa nini? ,,,,,,na ukifuatilia maisha yao hasa ya ndoa na malezi ya familia wako vizuri sana.,,

Haya huku kanisani vipii mbona watoto hawaendi kanisani??? ati wako Twisheni....Twisheni??? Maisha hayataki A's.....wala kufaulu Shule.....Maisha yanataka kumcha Bwana/Mungu

Kwa yeyote anaye MCHA MUNGU hakika hufanikiwa.

Kuibuka kwa Makanisa ya mbogamboga ni matokeo ya kufa kwa NDOA ZA KIKRISTO.
Kwanini? kwa sababu KANISA limekosa msaada.

Kwa Mfano mtu NDOA ya Kikatoliki ikimshinda huyoo anatimkia kwa hao ambao si vyema kuwataja hapa.

Wanawake wengi ndio wahanga wa sakata hili kwa kuzurura kwenye makanisa ya mbogamboga wakidhani msaada utapatikana huko...kwa sisi wanaume kuna mawili aidha uendelee kubaki hapo kanisani au usiende kanisani kabisa.

Wengine wanaishi nyumba moja kwa huku nje wanaonekana wako sawa lakini huko ndani kila mtu na chumba chake.......au kama wako chumba kimoja ni mzungu wawili au mmoja chini mwingine kitandani ili watoto wasijue.

Mama mkwe ni balaa lingine katika misukosuko ya NDOA na mara nyingi hii inasababishwa na MALI.....hapa naomba nisizungumzie sana manake mifano mingi ni ya uchungu na maumivu sitaki niwatonyeshe baadhi yenu mpo humu.

Kwa nini nasema kanisa limeshindwa?? hii ni kutokana na hali ya Dunia kwa sasa Maaskofu, Wachungaji na Mapadre hasa wa nchi za Magharibi kwa sasa wanafungisha ndoa za JINSIA moja tena ndani ya kanisa MADHABAHUNI.....hii ni laana na machukizo makubwa,,,,,na haya yote yanasababishwa na nini???? JIBU NI........wameacha KUMCHA BWANA.

Kanisa limeshindwa kukemea dhambi ya ushoga ndio maana laana inaanza kutafuna NDOA kwa sababu NDOA ni MPANGO WA MUNGU wala si wa MWANADAMU......

Kanisa ni mwili wa KRISTO haya yanayoendelea ni dhihaka kubwa na matukano mbele za MUNGU....SODOMA na GOMORA ilipigwa sababu ya aina hii ya dhambi,,,,

Watu wanachukulia poa lakini kipigo kimesha anza MAUMIVU YA NDOA ndani ya mioyo ya watu ni MAKUBWA SANA SANA.

TALAKA kwa NDOA ya Kikristo limekuwa ni jambo la kawaida sana,,,,,maandiko yanasemaje?? MUNGU anachukia TALAKA sasa yanayoendelea kwa sasa ni AIBU ya namna gani hiii???

Kwa wale wanaoruhusiwa TALAKA na kuoa wake wengi mbona wanastawi???,,,,,,,,,Je? wao wanamcha BWANA? jibu ni NDIO......angalia familia zao..... angalia biashara zao....... Elimu ya Twisheni hawana lakini ya madrasa wanayo sasa hapo kipi muhimu?? KUMCHA BWANA.

Hali kadhalika kwa wanaoenda Sunday school na wanaozingatia mafundisho katika makanisa rasmi mbona hufanikiwa???Tazama kwa wale wasio kwenda kanisani wengi ni wasomi lakini familia kwishnei mtu ana Phd, lakini yuko Mbulu anakunywa gongo.....kwa nini?...kwa sababu wamekataa KUMCHA BWANA.

HII NI KWA KIFUPI SANAAA.
Achaneni na story ndoa zipp za kikristo imara kabisa hiyo mifano miwili sio picha halisi wakristo wana enjoy ndoa sana mitandao yote ndoa zinazofungwa asilimia kubwa ni za kikristo.
 
Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri ni kwa nini? ,,,,,,na ukifuatilia maisha yao hasa ya ndoa na malezi ya familia wako vizuri sana.,,
Hao ndio acha kabisa wanaume wao kazi yao kubwa ni kuoa/ kuzalisha/ kuacha, kuoa/ kuzalisha/ kuacha

Kule Zanzibar Kuna mahakama ya kadhi mojawapo ya jukumu lako kubwa ni kushughulikia masuala ya ndoa na talaka asilimia kubwa ya wahudhuriaji hapo ni wanawake
 
Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri ni kwa nini? ,,,,,,na ukifuatilia maisha yao hasa ya ndoa na malezi ya familia wako vizuri sana.,,

Haya huku kanisani vipii mbona watoto hawaendi kanisani??? ati wako Twisheni....Twisheni??? Maisha hayataki A's.....wala kufaulu Shule.....Maisha yanataka kumcha Bwana/Mungu
Hii case study umeifanyia wapi ndugu? Watu wengi hawaelewi uhalisia wa dhana ya UTAFITI, na njia za kupita ili kufikia hitimisho
 
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao....

chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,,

Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri ni kwa nini? ,,,,,,na ukifuatilia maisha yao hasa ya ndoa na malezi ya familia wako vizuri sana.,,

Haya huku kanisani vipii mbona watoto hawaendi kanisani??? ati wako Twisheni....Twisheni??? Maisha hayataki A's.....wala kufaulu Shule.....Maisha yanataka kumcha Bwana/Mungu

Kwa yeyote anaye MCHA MUNGU hakika hufanikiwa.

Kuibuka kwa Makanisa ya mbogamboga ni matokeo ya kufa kwa NDOA ZA KIKRISTO.
Kwanini? kwa sababu KANISA limekosa msaada.

Kwa Mfano mtu NDOA ya Kikatoliki ikimshinda huyoo anatimkia kwa hao ambao si vyema kuwataja hapa.

Wanawake wengi ndio wahanga wa sakata hili kwa kuzurura kwenye makanisa ya mbogamboga wakidhani msaada utapatikana huko...kwa sisi wanaume kuna mawili aidha uendelee kubaki hapo kanisani au usiende kanisani kabisa.

Wengine wanaishi nyumba moja kwa huku nje wanaonekana wako sawa lakini huko ndani kila mtu na chumba chake.......au kama wako chumba kimoja ni mzungu wawili au mmoja chini mwingine kitandani ili watoto wasijue.

Mama mkwe ni balaa lingine katika misukosuko ya NDOA na mara nyingi hii inasababishwa na MALI.....hapa naomba nisizungumzie sana manake mifano mingi ni ya uchungu na maumivu sitaki niwatonyeshe baadhi yenu mpo humu.

Kwa nini nasema kanisa limeshindwa?? hii ni kutokana na hali ya Dunia kwa sasa Maaskofu, Wachungaji na Mapadre hasa wa nchi za Magharibi kwa sasa wanafungisha ndoa za JINSIA moja tena ndani ya kanisa MADHABAHUNI.....hii ni laana na machukizo makubwa,,,,,na haya yote yanasababishwa na nini???? JIBU NI........wameacha KUMCHA BWANA.

Kanisa limeshindwa kukemea dhambi ya ushoga ndio maana laana inaanza kutafuna NDOA kwa sababu NDOA ni MPANGO WA MUNGU wala si wa MWANADAMU......

Kanisa ni mwili wa KRISTO haya yanayoendelea ni dhihaka kubwa na matukano mbele za MUNGU....SODOMA na GOMORA ilipigwa sababu ya aina hii ya dhambi,,,,

Watu wanachukulia poa lakini kipigo kimesha anza MAUMIVU YA NDOA ndani ya mioyo ya watu ni MAKUBWA SANA SANA.

TALAKA kwa NDOA ya Kikristo limekuwa ni jambo la kawaida sana,,,,,maandiko yanasemaje?? MUNGU anachukia TALAKA sasa yanayoendelea kwa sasa ni AIBU ya namna gani hiii???

Kwa wale wanaoruhusiwa TALAKA na kuoa wake wengi mbona wanastawi???,,,,,,,,,Je? wao wanamcha BWANA? jibu ni NDIO......angalia familia zao..... angalia biashara zao....... Elimu ya Twisheni hawana lakini ya madrasa wanayo sasa hapo kipi muhimu?? KUMCHA BWANA.

Hali kadhalika kwa wanaoenda Sunday school na wanaozingatia mafundisho katika makanisa rasmi mbona hufanikiwa???Tazama kwa wale wasio kwenda kanisani wengi ni wasomi lakini familia kwishnei mtu ana Phd, lakini yuko Mbulu anakunywa gongo.....kwa nini?...kwa sababu wamekataa KUMCHA BWANA.

HII NI KWA KIFUPI SANAAA.
Mbona makanisani vijana watoto na wazee wamejaa mpaka tunakosa siti?
 
Unakosea sana kuita "makanisa mboga mboga,"
Alafu mfano umetolea mfano ndoa ya kikatoliki!

Mama wakwe ni janga jipya kwenye ndoa nyingi, makanisa yote kwa ujumla wao yanapaswa kuwakemea kwa ukali na kuacha kufarakanisha ndoa za watoto!
Wakumbuke ndoa ni Agano na Mungu anaheshimu Agano.
Upo sahihi..
Mama mkwe
Simu simu simu+mihemko na miigo from utandawazi yaani SIMU..
Hakuna Cha waislam Wala wakristo ndoa zimekuwa na mivurugo mpaka huruma..
Afadhali ya uislam kuruhusu kuachana na kutafta changamoto sehem nyingine😂
Ila kuhusu heshma ya ndoa kuharibika ni jamii nzima hakuna Cha udini.
 
Wenye upungufu wa akili hawawezi kuona hili hata siku moja...

Yani Mtu anafurahia kumiliki wanawake wengi.. Kazi kweli kweli 😁😁😁
 
Kitu ambacho umeandika kwa hisia bila kufikiria vizuri ni pale ulopoamini Ukristo ni Ukatoliki
 
Back
Top Bottom