M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Dec 5, 2024 #41 Nyafwili said: Ngoja niandae na panga kabisa, naona unaleta utani kwa mke wangu... ππππ Ila ukiwa na wake ziadi ya mmoja, elewa kabisa umeolea jamii ya masela. Maana ukienda Upande wa bimkubwa, wahuni wanalala Upande wa bibi mdogo. Click to expand... Kawaida kabisa ata huyo mmoja tuu watu wanapita nae sembuse uwe na wake wanne. Mbususu hizi tuna share tuu mwanawane. Ukipewa ridhika. Mambo ya kujidai fbi unataka kujua nani mwengine anatomber hapo ni ujinga
Nyafwili said: Ngoja niandae na panga kabisa, naona unaleta utani kwa mke wangu... ππππ Ila ukiwa na wake ziadi ya mmoja, elewa kabisa umeolea jamii ya masela. Maana ukienda Upande wa bimkubwa, wahuni wanalala Upande wa bibi mdogo. Click to expand... Kawaida kabisa ata huyo mmoja tuu watu wanapita nae sembuse uwe na wake wanne. Mbususu hizi tuna share tuu mwanawane. Ukipewa ridhika. Mambo ya kujidai fbi unataka kujua nani mwengine anatomber hapo ni ujinga
mxrereco JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 1,906 Reaction score 3,986 Dec 6, 2024 #42 Tayana-wog said: Uhai upi mkuu? Yaani ndoa za mitala ndo kwenye uhai?π€ Click to expand... Ipo kwa mujibu wa dini
Tayana-wog said: Uhai upi mkuu? Yaani ndoa za mitala ndo kwenye uhai?π€ Click to expand... Ipo kwa mujibu wa dini
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Dec 7, 2024 #43 mtpettro said: Ipo kwa mujibu wa dini Click to expand... Sio ukristo,mitala ni kwenye dini nyingine Life is spiritual
mtpettro said: Ipo kwa mujibu wa dini Click to expand... Sio ukristo,mitala ni kwenye dini nyingine Life is spiritual
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Dec 7, 2024 #44 Ndoa Iheshimiwe Na Watu Wote