Usitake kutudanganya!
Sasa nikudanganye nini haswa? Mi naoa 2012 that is my goal sasa kama wewe unataka kubatilisha labda hii ni planned itatangazwa hapa hapa kabla ya hapo nasubili mwakani natangaza kumtafuta mchumba hapa hapa maana nimechemka mtaani kutafuta sijui wachumba wanapatikana wapi?
Jamani mimi naomba mnijulishe kwanza na muorozeshe majukumu ya mume na majukumu ya mke na kisha tuanze kuangalia nani hatimizi majukumu yakee
hicho kitambi hata hakiniogopeshi, wangu ni wangu tu. bahati nzuri nikipata kitambi ndo manjonjo yanaongezeka, ever heard of that?
hapa tupo ukurasa mmoja sasa. nawaelewa wasiokuwa na uwezo wa kubadili situations, may be its too late . lakini ndio maana tunapreach hapa ili hata hawa wanaume wabadili mitizamo makwao na ambao hawajoa wala kuolewa wapate ukweli kwamba dunia imebadilika. samahani kama nimemkwaza mtu ila kinachonuzi ni pale wanawake wanapoadmit kwamba women have to do all those things bila kusaidiwa, ni msalaba wao, wanaume wana haki ya kunyoosha tu miguu na kuwa treated kama kings bila kuwajali maqueens wao. Otherwise yote heri.Ni kweli kabisa unavyosema.lakini pia usimlaumu ambaye kwake ndoa yake haiendi kama yako.Kwani ni bahati kumpata mume wa namna hiyo.Wanawake wanajitahidi sana lakini wanaume ni unpredictable
Hata kanisani umeshindwa kupata? wewe si katekista?Mimi nitakuombea upate mke mwema anayetoka kwa Bwana.
kaa chonjo mamii, hawa watakupoteza na uchungaji wao. hawana tofauti na kibwetele hawa.
Nimepropose kitu fulani kwako....nipe jibu kwa PM hapa kuna watu walikuwa Tukuyu hivi Karibuni...
we masanilo wewe, sasa hivi tu umetoka kuchanganywa na binti aliyevaa kimini, bado tu hujachoka?Nimepropose kitu fulani kwako....nipe jibu kwa PM hapa kuna watu walikuwa Tukuyu hivi Karibuni...
hahahaha mpwa umeanza kuharibu sasa dah
we masanilo wewe, sasa hivi tu umetoka kuchanganywa na binti aliyevaa kimini, bado tu hujachoka?
haha hahah haaaaaaaaaaaaa, hii kweli week end kali.I think u have a special place in my heart! Follow my heart and youll never get lost.
haha hahah haaaaaaaaaaaaa, hii kweli week end kali.
taratibu masa, mwenzio hizo story za when i drink water i see you in the glass, and i dream of you every night n so on hazina nafasi, just be realCarmel
When you smile, I smile. When you laugh, I laugh. When you cry, I cry. My love for you will never die.
CEO, Masa
usijali fidel ukimpata tu tangaza humu JF tutakuchangiaMi naoa 2012 ule mzinga usisahau kuniletea siku ya harusi natafuta kisura simpati mpaka nimekata tamaa naweza nikajikuta nasogeza tena mwaka mweh!
mimi na mme wangu we are on the same wavelength,hivyo majukumu yote ni sawa kwetuJamani mimi naomba mnijulishe kwanza na muorozeshe majukumu ya mume na majukumu ya mke na kisha tuanze kuangalia nani hatimizi majukumu yakee
taratibu masa, mwenzio hizo story za when i drink water i see you in the glass, and i dream of you every night n so on hazina nafasi, just be real
by the way masa, hivi kila siku unavyochomwa na hiyo miba hapo mbele si unaumia? unawezakuta nanihini yot imeshatobokatoboka