Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

Usitake kutudanganya!

Sasa nikudanganye nini haswa? Mi naoa 2012 that is my goal sasa kama wewe unataka kubatilisha labda hii ni planned itatangazwa hapa hapa kabla ya hapo nasubili mwakani natangaza kumtafuta mchumba hapa hapa maana nimechemka mtaani kutafuta sijui wachumba wanapatikana wapi?
 
Hata kanisani umeshindwa kupata? wewe si katekista?Mimi nitakuombea upate mke mwema anayetoka kwa Bwana.
 
Jamani mimi naomba mnijulishe kwanza na muorozeshe majukumu ya mume na majukumu ya mke na kisha tuanze kuangalia nani hatimizi majukumu yakee

Kwani wewe umezaa na umeolewa? Maana tunaogopa kukuchanganya weka wazi p'se
 
hicho kitambi hata hakiniogopeshi, wangu ni wangu tu. bahati nzuri nikipata kitambi ndo manjonjo yanaongezeka, ever heard of that?

Nimepropose kitu fulani kwako....nipe jibu kwa PM hapa kuna watu walikuwa Tukuyu hivi Karibuni...
 
Ni kweli kabisa unavyosema.lakini pia usimlaumu ambaye kwake ndoa yake haiendi kama yako.Kwani ni bahati kumpata mume wa namna hiyo.Wanawake wanajitahidi sana lakini wanaume ni unpredictable
hapa tupo ukurasa mmoja sasa. nawaelewa wasiokuwa na uwezo wa kubadili situations, may be its too late . lakini ndio maana tunapreach hapa ili hata hawa wanaume wabadili mitizamo makwao na ambao hawajoa wala kuolewa wapate ukweli kwamba dunia imebadilika. samahani kama nimemkwaza mtu ila kinachonuzi ni pale wanawake wanapoadmit kwamba women have to do all those things bila kusaidiwa, ni msalaba wao, wanaume wana haki ya kunyoosha tu miguu na kuwa treated kama kings bila kuwajali maqueens wao. Otherwise yote heri.
 
Hata kanisani umeshindwa kupata? wewe si katekista?Mimi nitakuombea upate mke mwema anayetoka kwa Bwana.

Dah hawa wakutoka kwa Bwana iwa wanakuwa na kautata flani unaweza shangaa kuwa Mchungaji nae ana mega si ametoka kwa Bwana kwa hiyo tusinyamane.
 
Nimepropose kitu fulani kwako....nipe jibu kwa PM hapa kuna watu walikuwa Tukuyu hivi Karibuni...
we masanilo wewe, sasa hivi tu umetoka kuchanganywa na binti aliyevaa kimini, bado tu hujachoka?
 
we masanilo wewe, sasa hivi tu umetoka kuchanganywa na binti aliyevaa kimini, bado tu hujachoka?

I think u have a special place in my heart! Follow my heart and you'll never get lost.
 
Carmel

When you smile, I smile. When you laugh, I laugh. When you cry, I cry. My love for you will never die.

CEO, Masa
 
haha hahah haaaaaaaaaaaaa, hii kweli week end kali.

It has been said that we need just three things in life: Something to do, Something to look forward to And someone to love (Carmel)
 
Carmel

When you smile, I smile. When you laugh, I laugh. When you cry, I cry. My love for you will never die.

CEO, Masa
taratibu masa, mwenzio hizo story za when i drink water i see you in the glass, and i dream of you every night n so on hazina nafasi, just be real
 
Mi naoa 2012 ule mzinga usisahau kuniletea siku ya harusi natafuta kisura simpati mpaka nimekata tamaa naweza nikajikuta nasogeza tena mwaka mweh!
usijali fidel ukimpata tu tangaza humu JF tutakuchangia
 
by the way masa, hivi kila siku unavyochomwa na hiyo miba hapo mbele si unaumia? unawezakuta nanihini yot imeshatobokatoboka
 
Jamani mimi naomba mnijulishe kwanza na muorozeshe majukumu ya mume na majukumu ya mke na kisha tuanze kuangalia nani hatimizi majukumu yakee
mimi na mme wangu we are on the same wavelength,hivyo majukumu yote ni sawa kwetu
 
taratibu masa, mwenzio hizo story za when i drink water i see you in the glass, and i dream of you every night n so on hazina nafasi, just be real

hahahahaha najikumbushia enzi zile bwana hahaha, nilikuwa nacheka sana hapa!
 
Back
Top Bottom