Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwani hujui anacho kusumbulia huyo chunguza utabaini
Anajua sana mpwa, anawazuga tu huyo. Tumkaribishe nyama chabez nini? Anafaa huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui anacho kusumbulia huyo chunguza utabaini
Ntake radhi ZD, sincerely. Sijawahi wale sitegemei kuwadanganya makomredi wenzangu. Nakupa masaa 24 vinginevyo tutakutana court of law.
Plzzzzzzzzzzz nisamehe my dear brother,mwenzio huko court law sio kwema.Plz ntakupa na zawadi forgive me!
Plzzzzzzzzzzz nisamehe my dear brother,mwenzio huko court law sio kwema.Plz ntakupa na zawadi forgive me!
Mna washing machine?
Mhhh mashahidi tupo!
Huyo mmeo ni he au she?
ndio...hata boxer?
A aa mimi sijafika huko kwa kuolewa na ma she, mume wangu ni wa kiume aka he
Plzzzzzzzzzzz nisamehe my dear brother,mwenzio huko court law sio kwema.Plz ntakupa na zawadi forgive me!
Geoff mke wangu ni mcha mungu sana hata family alikotoka ni mcha mungu sana, hakuna cha dawa wala nini siajaanza tabia ya kufanya usafi baada ya kuoa nimefanya usafi saaaana nikiwa naishi na my brothers ambao baada ya kufariki my father nilikuwa naishi nao so hii tabia kwetu tunayo hata my bro alipokuwa ameoa nilikuwa namwona siku kadhaa akimsaidia shemeji yangu, Bwana Geoff usiwe na corrupt mind na kurithi mambo ambayo kimsingi naona hayakusaidii sana ni vitu vya kawaida tuu ukivizoea hata uta feel pain yeyote ile, mwoneshe mwenzio mapenzi ya kweli wanaume tunafanya makosa sana tunadhani mwanamke yupo pale kukutumikia kila kitu wewe tuu hapana Mkuu, mpige tafu mwenzi wako utaona upendo utakaopata toka kwake, mambo yako mengi yatakuwa mazuri, unajua hata watoto wenu wataona jinsi mlivyo shibana, na uanaume sio kwenda na kushinda baa kutwa kunywa BIA na kurudi saa tano au saba usiku, nimeshuhudia NDOA nyingi zikiharibika kwa mtindo huo wa baba kujiona ndo kila kitu, watu wanajengeana CHUKI haswa mpaka unashangaa kweli hawa watu wanalala kitanda kimoja kweli, halafu usiki UNAMMEGA mwenzi wako ukimaliza unaona hafai hahahahahaha WANAUME BADIRIKENI JAMANI.
Hiyo Zawadi akitaka atumie na rafiki zake kuna shida kwako? maana kizuri kula ndunguzo...hatuna wivu sisi!
Geof , that is ur mentality en no body can change that other than urself,at last nitalazimika kufanya ngono na beki-tatu kama ''AHSANTE KWA KUNIJALI''.huyu mwanamke atabak analia lia tu mara mumewe muhuni,mara hausigeli muhuni wakati yeye ndiye chanzo
Mfano Mzee alikuwa amepata ghafla tumbo la kuendesha sasa unakuta kuna mchuzi kwenye Boxer.....why not Washing Machine? Umenisoma bila shaka!
Inategemea na uzuri wenyewe. Kuna vingine vizuri ni sumu kwa nduguzo. Hahahaha! Mpwa natania, nikipata nauli ntakukatia na wewe tiketi.
well said ma bro.....ungekuwa karibu yangu tunge share hii ballantine hapa.
Nikivua miwani hiyo red inasomeka balantini. Nikiivaa inasomeka tiGo. Lol! Hii mawani naipenda sana.
hahahahahahahahah!binamu kiti-moto umefinito?Sasa ni He gani hapendi kufuliwa chupi yake na she? Ooh sorry, nimesahau, hivi wewe ni he au she?
Sasa akigundua mimi najua kuitumia hiyo Zawadi vizuri kuliko wewe ....akamua awe ananizawadia mimi itakuwaje mpwa?