Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

vyovyote vile, la msingi ni kwamba haendi bar kwishney.

Subili upate kitambi gafla cha msimu kile mnachougulia miezi kumi sijui uone kama atakuwa anawahi kurudi najua atawahi kwa ajili ya kupanua njia vinginevyo sijui wkt unalea hahahaha hapo bar kila siku.
 
Namdawa karibu sana jamvini yaani hapa watu tunajenga na kubomoa hoja karibu sana hujachelewa na hujapitwa na kitu mama mimi ndo Baba Mtakatifu mwenyewe kwa hapa jamvini kuna mashemasi, kardinali, makatekista na waumini.

Na mimi ni mchungaji kiongozi(Senior pastor),naona hii huduma itanifaa si ndio Fidel?
 
Na mimi ni mchungaji kiongozi(Senior pastor),naona hii huduma itanifaa si ndio Fidel?

Kwa niaba ya Fidel, utakuja Tegeta by Night kwenye maombi leo? Watumishi wa Mungu wote tutakuwa pale.
 
Kwa niaba ya Fidel, utakuja Tegeta by Night kwenye maombi leo? Watumishi wa Mungu wote tutakuwa pale.

Mchungaji kiongozi haalikwi,mimi si ndio mpanga maombi? na ndio mama maadili wa kurekebisha ndoa zinazolegalega.
Tupange semina ya wanandoa hapa JF,Utanisaidia kutoa neno.
 
Hahahaha ngoja niongee na mzee wa kanisa Chrispin mm nakukubali uwepo kundini.

Mpwa, mkaribishe kwenye maombi yetu. Tegeta by Night au Kwenye Ibada Kimara Baruti. Hahahaha! Atakula shwaini mpaka mtoto azimike.
 
IV,

Imebidi niwe the first person kukupa thanks hapa jamvini kwakweli! Hayo maneno niliyohighlight hapo juu kama unayaishi kweli, basi kama ni she na huja pata mume, mume atakaye kuoa tabarikiwa sana.........!

Wanawake waliowengi hawalitambui hilo kabisa........!

BWT: Karibu sana JF.........!
watalitambuaje wakati nyie wanaume wenyewe hamtambui umuhimu wa kujali familia zenu mnawaza bar tu na nyumba ndogo. bahati yenu mbaya wanawake wameshtuka.
 
hivi fidel na chris mmeoa?

Swali la wiki. Ntakujibu Jumatatu, sahizi nawahi kabia. Mtumishi nakuachia ukumbi. Nawahi kubook ile kitu yetu pale By Night. Angalia pikipiki isikumwage manake najua unakiu sana. Hahahaha!
 
Mpwa, mkaribishe kwenye maombi yetu. Tegeta by Night au Kwenye Ibada Kimara Baruti. Hahahaha! Atakula shwaini mpaka mtoto azimike.
Halafu nyie mtakuwa watumishi fake nyie nina wasiwasi na nyie.isije ikawa kama yule wa uganda aliyewachoma waumini,sijui anaitwaje jina lake nimelisahau.
 
Subili upate kitambi gafla cha msimu kile mnachougulia miezi kumi sijui uone kama atakuwa anawahi kurudi najua atawahi kwa ajili ya kupanua njia vinginevyo sijui wkt unalea hahahaha hapo bar kila siku.

hicho kitambi hata hakiniogopeshi, wangu ni wangu tu. bahati nzuri nikipata kitambi ndo manjonjo yanaongezeka, ever heard of that?
 
Swali la wiki. Ntakujibu Jumatatu, sahizi nawahi kabia. Mtumishi nakuachia ukumbi. Nawahi kubook ile kitu yetu pale By Night. Angalia pikipiki isikumwage manake najua unakiu sana. Hahahaha!

Hahahaha nampango nije mpaka anga hizo usihofu mpwa nimefunga horn ya Fuso nikipiga tu naachiwa njia watu wanajua Fuso mm mafuta tu ngoja nicheck kwanza vituz k/ndoni
 
Halafu nyie mtakuwa watumishi fake nyie nina wasiwasi na nyie.isije ikawa kama yule wa uganda aliyewachoma waumini,sijui anaitwaje jina lake nimelisahau.
kaa chonjo mamii, hawa watakupoteza na uchungaji wao. hawana tofauti na kibwetele hawa.
 
Jamani mimi naomba mnijulishe kwanza na muorozeshe majukumu ya mume na majukumu ya mke na kisha tuanze kuangalia nani hatimizi majukumu yakee
 
Omba kibali kwa mtakatifu mchungaji nabii masanilo.

Mazee huu U-CEO unanipa shida kidogo, walikuja wageni hapa kuonana na mimi, kuna mdada alivyokuwa amevaa kigauni kinaishia futi moja juu ya magoti. Sijaweza msikiliza maana nilikuwa nawaza mambo fulani, lakini baadaye nimemwambia kampuni itashughulikia na aniandikie mail kuweka msisitizo nimempa my personal email na mob. Nitakufahamisha hawa viumbe wanatukondesha sana. Nimerudi JF duuu
 
[I said:
kwa taarifa yako sas mume wangu akitoka kazini hata bar haendi anawahi nyumbani tushirikiane kulea watoto na kusaidiana majukumu, na ndoa yetu in furaha kwa kuwa tunashirikiana kila kitu, kwenye budget na kwenye majukumu ya kufua na kunyoosha. hakuna mtumwa wa mwenzie na hakuna anayetake advantage ya mwenzie iwe ya kipesa au ya ki majukumu ya ndani, na hiindo maana nzima ya marriage. sasa kama wewe unadhani unajenga yako kwa kuwa mtumwa, its your way, do it if it fits you.[/I]

Ni kweli kabisa unavyosema.lakini pia usimlaumu ambaye kwake ndoa yake haiendi kama yako.Kwani ni bahati kumpata mume wa namna hiyo.Wanawake wanajitahidi sana lakini wanaume ni unpredictable
 
Back
Top Bottom