'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Lofa na mpumbavu wewe, nimefika chuo wakati wewe bado unatoa kamasi lakini uchafu wa siku za mwisho na wendawazimu wa kizazi cha wapumbavu kama wewe unatia kinyaa mpaka akili zenu inaonyesha ni mbovu,
Kwani enzi gani uliwahi ona watoto wakiume wa chuo wakiposti video yao wakisodomiana halafu mpumbavu wewe unatuambia sisi huku tuwasubiri eti mmalize chuo muwe wataalamu kwenye jamii, rubbish, robots zinawazidi akili, you are outwitted by robotts, nincompoops!
Ok mpelekee roboti akutibu, akufundishie nwanao n.k nashangaa sijakutukana ila wewe unanitukana mzee wa ovyo wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.

Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.

***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364

View attachment 2091493

View attachment 2091497
Wanachuo kuleni Raha
 
Back
Top Bottom