'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.

Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.

***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364

View attachment 2091493

View attachment 2091497
Vipi kufumuana marinda ya nundu
 
Vijana wanaumwa balaa. Walioenda Kwa mujibu wametimuliwa Kwa sababu Afya
Wee jkt kwa mujibu wameenda mda gan? Akati hata mtihani wa 4m 6 hawajafanya.

Hawa si wanao enda kwa maombi yao binafsi. Ndo wakiokutwa na ngomaaa. Lol
 
Wee jkt kwa mujibu wameenda mda gan? Akati hata mtihani wa 4m 6 hawajafanya.

Hawa si wanao enda kwa maombi yao binafsi. Ndo wakiokutwa na ngomaaa. Lol
Screenshot_20230213-115711_Chrome.jpg
 
Vijana wanaoana kabisa ndoa bubu kasoro hazina makaratasi tu...na mimba wanatoa...Wanaishi kinyumba kabisa kula kupakua kama mke na mume!

Ukioa mwanachuo jua kuwa unaoa mke wa wenzio...she was taught everything na baharia wake wa chuoni... [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Vijana wanaoana kabisa ndoa bubu kasoro hazina makaratasi tu...na mimba wanatoa...Wanaishi kinyumba kabisa kula kupakua kama mke na mume!

Ukioa mwanachuo jua kuwa unaoa mke wa wenzio...she was taken slowly and taught everything na baharia wake wa chuoni... [emoji706][emoji706][emoji706]
Daah inasikitisha.. sisi ambao hatujaoa tuna kazi.

Na hivyo Boom linaongezwa.
 
Back
Top Bottom