'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Wanachuo mmetuonea sana kila cku wana chuo wanachuo

Anyway somesheni watoto kwa nguvu wenu na nyie waje chuo
 
Ni mwendo wa kunyanduana tu hiyo ipo tu kwenye vyuo Miaka mingi ukipata demu huyo anakua Ni sawa na mke kabisa [emoji23][emoji23]Daaah yanimaisha ya uko mnakuwa VIJANA wa hovyo kabisa
 
Itakuwa wako praktikoni kufanyia kazi wanayofundishwa na maprofesa wao chuoni. But very, very sad. ^Huwezi kujenga taifa imara endapo vijana husika wanawaza pombe na ngono^ ~ Che Guevara
Inakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.
Kumbuka roboti hazichoki, haziombi ruhusa, hazidai mshahara, haziongei wala stori kazini n.k wala hazingonoki ofisini.

Kwa hayo mazezeta ya chuo yanajidanganya tu, hayana lolote , ulimwengu unaokuja muda si mrefu kutokana na mambo kama ya korona haya, mataahira hayo hayana chao. Roboti havai barakoa wala haambukizwi.
 
Mkuu hayo mambo yapo kitambo tu tena karibia vyuo vyote nchini na hii inatokana na vijana wengi inakua ndio mara yao ya kwanza kuishi maisha ya uhuru kujiamulia.
Tena hasa watoto wa kishua waliosoma boarding seminary ndio wanawehuka kabsaa.
Vitendea kazi vya siku hizi hali ni mbaya zaidi, maana watu wanaeeza kuwasiliana fasta na within a second mtu akaenda kula mzigo,
 
Hapo Msewe kwa Milard kuna uchafu mkubwa kwa hao watoto wanagegedana balaa
 
Punguza hasira! Hii nchi bado inaendelea.
 
Wewe uza hizo P2 na UPT , piga hela tu hapo Pharmacy [emoji23][emoji23][emoji23]
... huyu, mleta mada, atakuwa denti anampigia 'negative campaign' muuza madawa aliyemzidi kete kwa msichana!
Wanachuo, pamoja na visa alivyoposti mleta mada, wanaifuatilia hii mada kwa 99%, ... hizo dawa atamuuzia nani baadaye?
 

Kuna watu walipeleka watoto huko unakosema, sasa wanalia na kusaga meno.
 
Upo sahihi, ila hao wanafunzi wasiojua kuandika official email na representation ni wavivu tu wa kujifunza.! Ila hali hiyo uisemayo ndipo tulipofikia kama taifa, mizaha mingi kwenye kila kitu, wasomi wetu wengi wanaohitimu wanasikitisha. Kuna haja ya kubadilika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a good commitment! Wow!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari ROBOT ATM kaishafanya yake ya kutupunguzia ma'CASHIER' wa benki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…