The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Huko mahospitalini vichanga vilivyokuwa vinauliwa ni wengi kuliko waliozaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawache tu..😂Hizi mvua za rasha rasha mnategemea nn
Ni mwendo wa kunyanduana tu hiyo ipo tu kwenye vyuo Miaka mingi ukipata demu huyo anakua Ni sawa na mke kabisa [emoji23][emoji23]Daaah yanimaisha ya uko mnakuwa VIJANA wa hovyo kabisaKumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
View attachment 2048638
Inakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.Itakuwa wako praktikoni kufanyia kazi wanayofundishwa na maprofesa wao chuoni. But very, very sad. ^Huwezi kujenga taifa imara endapo vijana husika wanawaza pombe na ngono^ ~ Che Guevara
Vitendea kazi vya siku hizi hali ni mbaya zaidi, maana watu wanaeeza kuwasiliana fasta na within a second mtu akaenda kula mzigo,Mkuu hayo mambo yapo kitambo tu tena karibia vyuo vyote nchini na hii inatokana na vijana wengi inakua ndio mara yao ya kwanza kuishi maisha ya uhuru kujiamulia.
Tena hasa watoto wa kishua waliosoma boarding seminary ndio wanawehuka kabsaa.
Hapo Msewe kwa Milard kuna uchafu mkubwa kwa hao watoto wanagegedana balaaKumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
View attachment 2048638
Kwa sauti ya JiweNdiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Punguza hasira! Hii nchi bado inaendelea.Vyuo vishakua useless Tanzania
Kama una vijihela vyako ukajibana komaa mtoto mpeleke hata USA au Canada akakimbizane na competition huko zinazochukua watoto worldwide
Goddamn hata Kenya tu hapo si mbaya maana wapo namba 6 kwa Africa,au hata Africa Kusini
Western countries kuna real competition,ethics za kazi,za kujifunza,real timetable,unakutana na best of the best,unajitahidi kupambana,na pia wanadamu wanaheshimiana maana lawsuits ni nje nje...ubaguzi upo ila usiwe mtu sensitive sana,na ni katatiza kadogo compared na upumbavu mitoto inafanya huko changanyikeni inatoka hata haijui kuandika official email na presentantion
Tanzania kielimu tupo mavini kule kabisa..hata Uganda na Kenya hatuwawezi..what a Shame!
... huyu, mleta mada, atakuwa denti anampigia 'negative campaign' muuza madawa aliyemzidi kete kwa msichana!Wewe uza hizo P2 na UPT , piga hela tu hapo Pharmacy [emoji23][emoji23][emoji23]
Vyuo vishakua useless Tanzania
Kama una vijihela vyako ukajibana komaa mtoto mpeleke hata USA au Canada akakimbizane na competition huko zinazochukua watoto worldwide
Goddamn hata Kenya tu hapo si mbaya maana wapo namba 6 kwa Africa,au hata Africa Kusini
Western countries kuna real competition,ethics za kazi,za kujifunza,real timetable,unakutana na best of the best,unajitahidi kupambana,na pia wanadamu wanaheshimiana maana lawsuits ni nje nje...ubaguzi upo ila usiwe mtu sensitive sana,na ni katatiza kadogo compared na upumbavu mitoto inafanya huko changanyikeni inatoka hata haijui kuandika official email na presentantion
Tanzania kielimu tupo mavini kule kabisa..hata Uganda na Kenya hatuwawezi..what a Shame!
Upo sahihi, ila hao wanafunzi wasiojua kuandika official email na representation ni wavivu tu wa kujifunza.! Ila hali hiyo uisemayo ndipo tulipofikia kama taifa, mizaha mingi kwenye kila kitu, wasomi wetu wengi wanaohitimu wanasikitisha. Kuna haja ya kubadilika!Vyuo vishakua useless Tanzania
Kama una vijihela vyako ukajibana komaa mtoto mpeleke hata USA au Canada akakimbizane na competition huko zinazochukua watoto worldwide
Goddamn hata Kenya tu hapo si mbaya maana wapo namba 6 kwa Africa,au hata Africa Kusini
Western countries kuna real competition,ethics za kazi,za kujifunza,real timetable,unakutana na best of the best,unajitahidi kupambana,na pia wanadamu wanaheshimiana maana lawsuits ni nje nje...ubaguzi upo ila usiwe mtu sensitive sana,na ni katatiza kadogo compared na upumbavu mitoto inafanya huko changanyikeni inatoka hata haijui kuandika official email na presentantion
Tanzania kielimu tupo mavini kule kabisa..hata Uganda na Kenya hatuwawezi..what a Shame!
What a good commitment! Wow!Mkuu
Nilisoma UDSM mid 2000's na nilikaa Hall 2 na Hall5 miaka yote minne...
Nimekuja huku America ndio nikajua huku duniani watu wapo serious na elimu na kazi kwa ujumla
Nikaelewa kwanini elimu ya America ndio the best na most expensive in the world
Ndio najua kwanini all the best brains come from all over the world and come to compete here
Sio naongea kwa hasira mkuu...Mimi wanangu hawatakaa wakanyage High School au College Tanzania...
Ninajinyima ninakusanya kila thumni nitajitahidi kwakweli wasisome huu ujinga TZ...
Ni kama wazazi wanavyokwepa shule za Kanyumba kwa sasa....College za Tanzania ni za kukwepa kabisa kama ukoma
Nitauza viwanja vyangu nitavunja hata BOT kabisa....aidha nife
Wakifa kwa ukimwi atawauzia nani?We endelea kuwauzia dawa
Mambo mengine potezea
Ova
Tayari ROBOT ATM kaishafanya yake ya kutupunguzia ma'CASHIER' wa benki!Inakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.
Kumbuka roboti hazichoki, haziombi ruhusa, hazidai mshahara, haziongei wala stori kazini n.k wala hazingonoki ofisini.
Kwa hayo mazezeta ya chuo yanajidanganya tu, hayana lolote , ulimwengu unaokuja muda si mrefu kutokana na mambo kama ya korona haya, mataahira hayo hayana chao. Roboti havai barakoa wala haambukizwi.
... mtoto karudi anasema: "I were a girl imprisoned in a male body, ... so I decided to come out!"Kuna watu walipeleka watoto huko unakosema, sasa wanalia na kusaga meno.
Wagonjwa hawaishiWakifa kwa ukimwi atawauzia nani?