Mademu weng wa chuo mikumbo ndo inawamalizaKastaafu lini ukahaba wake? Hujamshika tu.
Duuh hata hivyo utakua uko vizuri economicallyMkuu
Nilisoma UDSM mid 2000's na nilikaa Hall 2 na Hall5 miaka yote minne...
Nimekuja huku America ndio nikajua huku duniani watu wapo serious na elimu na kazi kwa ujumla
Nikaelewa kwanini elimu ya America ndio the best na most expensive in the world
Ndio najua kwanini all the best brains come from all over the world and come to compete here
Sio naongea kwa hasira mkuu...Mimi wanangu hawatakaa wakanyage High School au College Tanzania...
Ninajinyima ninakusanya kila thumni nitajitahidi kwakweli wasisome huu ujinga TZ...
Ni kama wazazi wanavyokwepa shule za Kanyumba kwa sasa....College za Tanzania ni za kukwepa kabisa kama ukoma
Nitauza viwanja vyangu nitavunja hata BOT kabisa....aidha nife
Kwanini wanaliaKuna watu walipeleka watoto huko unakosema, sasa wanalia na kusaga meno.
Hasa mamc kwenye harus wanasifiaga wasomi mpaka wanaboa hasa kwa tunaowajua wasomi waliyoyapitia hasa wale wadada wazuriHalafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
jamaa kwenye vikao vya familia anapewaga jukumu la kamati ya food and drinks, yani yeye ni kuhakikisha ma misosi yapo na vinywaji wakati wenzie wanajadili🤣Duh! Hili jibu chief kweli! sidhani hata kwenye vikao vya familia huwa wanakuombaga ushauri.
Kwanini wanalia
Shida yako nn mkuu?Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
View attachment 2048638
View attachment 2049585
Hall 3 ndani mle , floor ya 4, miaka ya 2013 ukienda na kuulizia 'Tigo Rusha' unahudumiwa chapNataarifiwa 'Survey' ndo balaa. Wanapasuana mpaka wanasahau shule