'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Mkuu

Nilisoma UDSM mid 2000's na nilikaa Hall 2 na Hall5 miaka yote minne...

Nimekuja huku America ndio nikajua huku duniani watu wapo serious na elimu na kazi kwa ujumla

Nikaelewa kwanini elimu ya America ndio the best na most expensive in the world

Ndio najua kwanini all the best brains come from all over the world and come to compete here

Sio naongea kwa hasira mkuu...Mimi wanangu hawatakaa wakanyage High School au College Tanzania...

Ninajinyima ninakusanya kila thumni nitajitahidi kwakweli wasisome huu ujinga TZ...

Ni kama wazazi wanavyokwepa shule za Kanyumba kwa sasa....College za Tanzania ni za kukwepa kabisa kama ukoma

Nitauza viwanja vyangu nitavunja hata BOT kabisa....aidha nife
Duuh hata hivyo utakua uko vizuri economically

Maana ingekua ndo kama hawa wazazi wengi wa kitanzania ambao hata kodi ya nyumba ya elfu 20 za kitanzania kwa mwezi inawasumbua sizani kama utaweza
 
Utamu wa chuo ni kula mbususu,bila kula mbususu na pombe kidogo ni kama hukwenda chuo
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

View attachment 2048638

View attachment 2049585
Shida yako nn mkuu?
 
Back
Top Bottom