'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Wanachuo mmetuonea sana kila cku wana chuo wanachuo

Anyway somesheni watoto kwa nguvu wenu na nyie waje chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.
Kumbuka roboti hazichoki, haziombi ruhusa, hazidai mshahara, haziongei wala stori kazini n.k wala hazingonoki ofisini.

Kwa hayo mazezeta ya chuo yanajidanganya tu, hayana lolote , ulimwengu unaokuja muda si mrefu kutokana na mambo kama ya korona haya, mataahira hayo hayana chao. Roboti havai barakoa wala haambukizwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mengine yanazaa kabisa, itakua dunia ya maroboti. Mweeeeeh
 
Vile cocastic anachungualia huu uzi kwa mbali kana kwamba yeye siyo mwanachuo na mambo haya ya kuloweka vyuoni ndiyo anayasikia kwa mara ya kwanza[emoji116][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2048777
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafiki acha uchokozi bas nawee, hakna kitu km hicho bhana, sema watu wana fikra potofu mno juu ya wanachuo,
Mie sina hakika km watu wanaishi kinyumba, ila najua kuna mtindo wa kubebana ktk rooms. [emoji23][emoji23][emoji23]

Au nasema uongo rafiki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mambo hayajaanza leo wala jana ni muendelezo wa walipoishia wengine(graduates).
 
Tunaamini Wanachuo ni watu wazima wenye akili timamu. Hivyo acheni nongwa, Waacheni wajiachie wafanye wakipendacho.

Hapo Chuo ni sehemu huru sana kwao, Maana huku Sekondari walikuwa wanadhibitiwa na Wazazi.
Ndiyooooooh, acha watu wafaidi uhuru bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damn lol.
... NI SHIDAAA!
1640002548211.png
 
Baba yako alioa msomi kutoka chuo kikuu kipi?
Na kwa mtazamo wako ulivyo ni kwamba wale ambao si wasomi wa chuo kikuu ni kwamba wao hawastaafu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali nzuri sana.
 
Hizo ngono mnazokuza wala haziko kubwa kivile uku vyuoni. Mbona nilipokuwa field nyie wafanyakazi ndio wazinzi wakubwa na mmeoa/kuolewa? Ofisini wazinzi maradufu, ofisi nzima inaomba namba ya wadada wote waliokuwa field na inawatingoza, bado inatongozana, bado inatongoza ofisi za jirani.

Sisi huku ni sex zile za kawaida za kibinadamu. Ni kwamba wanachuo mnatuona kirahisi mtaani, hakuna wafanyakazi wataitwa wana Pepsi au wana CRDB. Sisi tuwe kanisani, sokoni, club au mtaani tutaitwa wanachuo.

Wanachuo ni watu hawana ukamilifu wala utofauti. Mnataka tusiwe na wapenzi kwani tuko seminari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom