'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Ila Wadada Wachuo Mpunguze Kotoa Mimba

Alafu Wenyewe Wanakuambia Wakiwa Wameandaliwa vizuri eti HIV hawapati kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol
 
waache wanyanduane tu mkuu...huko wengi wao wanapoteza muda tu kwa sababu ajira zenyewe hakuna..narudia ajira zenyewe hakuna ...bora waambulie kunyanduana..wajipatie std,Hiv...na mimba....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafunzi kukaa nje ya shule ni balaa. Mimi niliwahi kukaa kwenye hostel za kujitegemea kipindi niko form 5, aisee wanafunzi wa form 4 mpaka 6 walikuwa wameoana. Yani kulana nje nje maana hatukuwa na uangalizi. Nlikuwa naenjoy hilo life hata shule siendi.
Namshukuru Mzee wangu, sijui ilikuaje akachezwa na machale akaniondoa pale akanipeleka shule nyingine otherwise ningepoteza muelekeo.
Chuo pia mambo yakawa yale yale ila nilikuwa nshajielewa hivyo sikutoka kwenye mstari kihivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera Sana kwa kujitambua mapema. Wenzio wamelowea kwenye mapenzi na kusahau mapenzi. Baadhi wamepata ujauzito badala ya digrii. Survey pale wanastahili kupewa Mkoa kamili, maana vijana wametia fora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hasa mamc kwenye harus wanasifiaga wasomi mpaka wanaboa hasa kwa tunaowajua wasomi waliyoyapitia hasa wale wadada wazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364
Mangi vipi kuna mwanachuo amekunyima jambo nini mbona hasira sana
 
jamaa kwenye vikao vya familia anapewaga jukumu la kamati ya food and drinks, yani yeye ni kuhakikisha ma misosi yapo na vinywaji wakati wenzie wanajadili[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila hii issue Iko VERY SERIOUS wazazi wangekuwa wanajua yanayoendelea chuoni, sidhani kama wangetaman kuendelea kulipa ada.

Nimekaa hostel Moja, jamaa yangu anakaa na Binti Wa watu kama vile kamuoa, bafu la kiume na halina mlango lakini, mara kadhaa tunakutana koridoni na jichekea tu kwa future husband wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo Mlimani wengi wameshaungua. Nawapataga kwa lift na pesa kabla ya kuwala Lazima niwapime wengi majibu huja +
 
Back
Top Bottom