Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Sasa mkuu si uwaache wakinywa arv ni wao, wakipata gono watajua wao. Kikubwa haikupunguzi pesa zako mfukoni.
Au mkuu unawaonea wivu unanyimwa uroda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nyie familia zenu huwa unaombana ushauri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazazi wakiona huu uzi[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2048720
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu atusamehe.
Chuoni ndio sehem inayo ongoza kwa ufuska. Pombe n.k
Zile couple huwa zina break immediately after chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watavuna Degree za CHUPI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanachuo mmetuonea sana kila cku wana chuo wanachuo
Anyway somesheni watoto kwa nguvu wenu na nyie waje chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mengine yanazaa kabisa, itakua dunia ya maroboti. MweeeeehInakuja dawa yao, wataalamu wameshajua kuwa vitu walivyoleta kama FACEBOOK, INSTA, MA MOVIE PLATFORMS MBALIMBALI, NA VITU PHYSICAL VYA ANASA , wameshamaliza hiki kizazi, hakuna watu tena , wanaleta mbadala sasa hivi unaitwa ARTIFICIAL INTELLIGENCY (A. I). Unaambiwa sasa hivi wanakaribia kupata roboti zinazomzidi akili na uelewa mwanadamu, na wameshaorodhesha kazi zaidi ya 30 ambazo binadamu hatahitajika tena.
Kumbuka roboti hazichoki, haziombi ruhusa, hazidai mshahara, haziongei wala stori kazini n.k wala hazingonoki ofisini.
Kwa hayo mazezeta ya chuo yanajidanganya tu, hayana lolote , ulimwengu unaokuja muda si mrefu kutokana na mambo kama ya korona haya, mataahira hayo hayana chao. Roboti havai barakoa wala haambukizwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafiki acha uchokozi bas nawee, hakna kitu km hicho bhana, sema watu wana fikra potofu mno juu ya wanachuo,Vile cocastic anachungualia huu uzi kwa mbali kana kwamba yeye siyo mwanachuo na mambo haya ya kuloweka vyuoni ndiyo anayasikia kwa mara ya kwanza[emoji116][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2048777
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... huyu, mleta mada, atakuwa denti anampigia 'negative campaign' muuza madawa aliyemzidi kete kwa msichana!
Wanachuo, pamoja na visa alivyoposti mleta mada, wanaifuatilia hii mada kwa 99%, ... hizo dawa atamuuzia nani baadaye?
View attachment 2048785
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu walipeleka watoto huko unakosema, sasa wanalia na kusaga meno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damn lol.... mtoto karudi anasema: "I were a girl imprisoned in a male body, ... so I decided to come out!"
View attachment 2048801
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku wakifiwa wewe ndio utatoka mbele wakiita mzazi wake?
Ndiyooooooh, acha watu wafaidi uhuru bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaamini Wanachuo ni watu wazima wenye akili timamu. Hivyo acheni nongwa, Waacheni wajiachie wafanye wakipendacho.
Hapo Chuo ni sehemu huru sana kwao, Maana huku Sekondari walikuwa wanadhibitiwa na Wazazi.
... NI SHIDAAA![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damn lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali nzuri sana.Baba yako alioa msomi kutoka chuo kikuu kipi?
Na kwa mtazamo wako ulivyo ni kwamba wale ambao si wasomi wa chuo kikuu ni kwamba wao hawastaafu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo ngono mnazokuza wala haziko kubwa kivile uku vyuoni. Mbona nilipokuwa field nyie wafanyakazi ndio wazinzi wakubwa na mmeoa/kuolewa? Ofisini wazinzi maradufu, ofisi nzima inaomba namba ya wadada wote waliokuwa field na inawatingoza, bado inatongozana, bado inatongoza ofisi za jirani.
Sisi huku ni sex zile za kawaida za kibinadamu. Ni kwamba wanachuo mnatuona kirahisi mtaani, hakuna wafanyakazi wataitwa wana Pepsi au wana CRDB. Sisi tuwe kanisani, sokoni, club au mtaani tutaitwa wanachuo.
Wanachuo ni watu hawana ukamilifu wala utofauti. Mnataka tusiwe na wapenzi kwani tuko seminari