[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lolIla Wadada Wachuo Mpunguze Kotoa Mimba
Alafu Wenyewe Wanakuambia Wakiwa Wameandaliwa vizuri eti HIV hawapati kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waziri mwenyewe ulimsikia majuzi kati akikimwaga cha mabeberu...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waache wanyanduane tu mkuu...huko wengi wao wanapoteza muda tu kwa sababu ajira zenyewe hakuna..narudia ajira zenyewe hakuna ...bora waambulie kunyanduana..wajipatie std,Hiv...na mimba....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanafunzi kukaa nje ya shule ni balaa. Mimi niliwahi kukaa kwenye hostel za kujitegemea kipindi niko form 5, aisee wanafunzi wa form 4 mpaka 6 walikuwa wameoana. Yani kulana nje nje maana hatukuwa na uangalizi. Nlikuwa naenjoy hilo life hata shule siendi.
Namshukuru Mzee wangu, sijui ilikuaje akachezwa na machale akaniondoa pale akanipeleka shule nyingine otherwise ningepoteza muelekeo.
Chuo pia mambo yakawa yale yale ila nilikuwa nshajielewa hivyo sikutoka kwenye mstari kihivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera Sana kwa kujitambua mapema. Wenzio wamelowea kwenye mapenzi na kusahau mapenzi. Baadhi wamepata ujauzito badala ya digrii. Survey pale wanastahili kupewa Mkoa kamili, maana vijana wametia fora
Ndiyo, vipi muongozo hutoi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yao waachieni wenyewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasa mamc kwenye harus wanasifiaga wasomi mpaka wanaboa hasa kwa tunaowajua wasomi waliyoyapitia hasa wale wadada wazuri
Mangi vipi kuna mwanachuo amekunyima jambo nini mbona hasira sanaKumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
NB: Graduate with A's not with AIDS
View attachment 2048638
View attachment 2050364
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah wee na connection wanatoa kabisaaa.Msisahau hata watoto wa kiume wanakulana huko hosteli kwa siri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kwenye vikao vya familia anapewaga jukumu la kamati ya food and drinks, yani yeye ni kuhakikisha ma misosi yapo na vinywaji wakati wenzie wanajadili[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine walibwia unga, na wengine waliolewa na watu wa jinsi yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataarifiwa 'Survey' ndo balaa. Wanapasuana mpaka wanasahau shule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hall 3 ndani mle , floor ya 4, miaka ya 2013 ukienda na kuulizia 'Tigo Rusha' unahudumiwa chap
totoz tamtam za UdBS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hii issue Iko VERY SERIOUS wazazi wangekuwa wanajua yanayoendelea chuoni, sidhani kama wangetaman kuendelea kulipa ada.
Nimekaa hostel Moja, jamaa yangu anakaa na Binti Wa watu kama vile kamuoa, bafu la kiume na halina mlango lakini, mara kadhaa tunakutana koridoni na jichekea tu kwa future husband wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
Je wakianza kufa hao watoto kabla yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunakufa ndio,ila watoto unaowaacha duniani unawaachaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wamerudi wanadai haki zao za upinde wa mvua [emoji304] na kutwa kujidunga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana.... NI SHIDAAA!
View attachment 2051071
Atuachie mambo yetu wenyewe kwanza 😬😬KULOWEKA