'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Acha wazibuane tu, viboom vipo, mtaani hali ngumu kuoata aftatu ya kuhonga upige MBUPU si mchezo, inabidi uwe NTU wa dili NJOMBA
 
Wee jkt kwa mujibu wameenda mda gan? Akati hata mtihani wa 4m 6 hawajafanya.

Hawa si wanao enda kwa maombi yao binafsi. Ndo wakiokutwa na ngomaaa. Lol

Ni haohao wanaoenda kwa mujibu ila sio kwa mwaka mmoja hao 147 ni tangu mwaka 2019 mpaka mwaka huu idadi yao kwa ujumla ndio hiyo
 
Ila vijana was chuoni Kuna muda utafikiri vichwani mwao hazimo kbsa, huwa wanaendekeza anasa kwa style za kijinga sana
 
Back
Top Bottom