BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mke ameshinda kwa dau,basi imekula kwake,mme akishinda mke atarudhi nyumbani ila sarakasi na skendo kama kawaida.
....Aisee ndoa za kulazimisha wakati mmoja kishachoka ni hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke ameshinda kwa dau,basi imekula kwake,mme akishinda mke atarudhi nyumbani ila sarakasi na skendo kama kawaida.
mkuu usuluhishi ni Mungu akipenda,we hujui mtu atajali watoto wake ila kuwa naye ni ishu,mtaishi pamoja ila hamtaelewana na ugomvi wa kila siku bado mnawapa watoto wakati mgumu...Pia labda kuanzishwe kitengo cha kuzinusuru ndoa ili kabla ya kuachana kuwe na watu tuseme kutoka baraza la usuluhishi ili kwa kipindi cha miezi 12 wajaribu kuwasuluhisha wahusika ili kuinusuru ndoa husika, hili labda litapunguza idadi ya ndoa zinazosambaratika kila mwaka.
Imetokea amerubuniwa na kigogo au mwenyewe uwezo,sidhani kama hapo atasikia maumivu
Mkuu mi naona heri usimlazimishe,umfanyie wema,akiumizwa huko atakukumbuka na wakati huo we umeshafunga getiKaka mtu wa namna hiyo huwezi tena ukwa na amani naye...Ila mkiamua kuwa kama wanyama, basi huwezi kujua in advance nani atashinda....Mie niko tayari kuijaribu hiyo marathon!
Talaka hapati, na ataendelea kukaa kwangu na kutii masharti ya hapo nyumbani.....!!
BAK ingawa tunabisha ila uhuru wa mtu huwezi kuzuia,mfanyie wema,akikutana na mabaya atakukumbuka,akikuomba msamaha....Aisee ndoa za kulazimisha wakati mmoja kishachoka ni hatari sana.
mkuu usuluhishi ni Mungu akipenda,we hujui mtu atajali watoto wake ila kuwa naye ni ishu,mtaishi pamoja ila hamtaelewana na ugomvi wa kila siku bado mnawapa watoto wakati mgumu
mkuu usuluhishi ni Mungu akipenda,we hujui mtu atajali watoto wake ila kuwa naye ni ishu,mtaishi pamoja ila hamtaelewana na ugomvi wa kila siku bado mnawapa watoto wakati mgumu
Mfanyie wema ajutie kukuacha kuliko kumkomoaMkuu,
Hakuna kigogo ambaye hawezi kushughulikiwa kama mtu unaamua kufanya kweli...Tena ni rahisi kumshughulikia kigogo kuliko kama wewe ndiye kigogo!!
Vijana wa mjini watakusaidia kirahisi sana na kwa dau dogo!
Mkiamua kuchafuana, ni jambo ambalo kinawekezana ingawa huwezi kuwa na uhakika nani atatoka akiwa amejeruhiwa zaidi ya mwenzake!!
kesi utashinda,ataendelea kuishi na wewe ila atamegwa,halafu wewe ndo umpe talaka
hapo ndo inapokuja kwamba watoto wamchague wanayempenda,akikupenda wewe nadhani utakuwa umemshinda mwenzakoKwenye ndoa nyingi, watoto ndiyo wamekuwa mtego wa kuwafanya watu wengine waishi kwa mateso makubwa.
Pamoja na kwamba nawapenda sana watoto, ila siamini kama kuna nafsi inayotakiwa kufia nafsi nyingine. Kwa hiyo katika hali ambayo ndoa inakaribia kutoa roho za watu... watoto wakae pembeni hadi wanandoa wamalizane. Vinginevyo hali inakuwa ngumu zaidi!
Ndio maana watu wengine wanatorosha watoto ili kuwanyanyasa wenzao kisaikolojia na kuwafanya wabadilishe mawazo...Siyo vizuri hata kidogo kwa sababu tatizo la msingi linabaki pale pale!!
Mfanyie wema ajutie kukuacha kuliko kumkomoa
Mkuu hapo sawa,na hakutakuwa na migongano,ila sheria haisaidii kwa usuluhishi ila hiari ya kila moyo wa mtu...Naam Mkuu, ninaposema usuluhisho ni pale mke na mume wameamua kuyaweka pembeni matukio yote yaliowafikisha hapo walipo na kujaribu tena kuinusuru ndoa yao kwa faida yao wenyewe na watoto wao, linawezekana kabisa hili kama wahusika wataweka nia ya kujaribu tena.
hapo ndo inapokuja kwamba watoto wamchague wanayempenda,akikupenda wewe nadhani utakuwa umemshinda mwenzako
hapo ndo inapokuja kwamba watoto wamchague wanayempenda,akikupenda wewe nadhani utakuwa umemshinda mwenzako
Siku hizi mpenzi wako anamsifia celebrity,je akikutana naye itakwaje,miaka 10 mingi sana
hahahaha,...hii mingine ni mifano hai kabisa, acheni tu ndoa za wazee wetu tuzitukuze u Silver Jubilee na u Golden Jubilee waliobahatika. Miaka ya sasa mtu akikwambia kamaliza 10years watu wanamshangaa!
...Pia labda kuanzishwe kitengo cha kuzinusuru ndoa ili kabla ya kuachana kuwe na watu tuseme kutoka baraza la usuluhishi ili kwa kipindi cha miezi 12 wajaribu kuwasuluhisha wahusika ili kuinusuru ndoa husika, hili labda litapunguza idadi ya ndoa zinazosambaratika kila mwaka.
Kaka mtu wa namna hiyo huwezi tena ukwa na amani naye...Ila mkiamua kuwa kama wanyama, basi huwezi kujua in advance nani atashinda....Mie niko tayari kuijaribu hiyo marathon!
Talaka hapati, na ataendelea kukaa kwangu na kutii masharti ya hapo nyumbani.....!!
Siku hizi mpenzi wako anamsifia celebrity,je akikutana naye itakwaje,miaka 10 mingi sana
Kaka, unapozidi kuingiza suala la watoto unanishika pabaya,
Hiii line ya mjadala siitaki tena...Tuongelee ndoa ila mambo ya kugawana watoto ni magumu sana!!
Mkuu kama hujaoa changamoto kama hizi kwa maisha ya baadaye zinakuweka kwenye nafasi nzuri ya kuyafahamu mapenzi na maishaMkuu,
Nakushukuru kwa changamoto zako...Ni kweli ni vigumu kujua ni jinsi gani utahandle issue complex kama hiyo. Majibu tunayotoa hapa yanaweza kuwa ni over-simplification!!
Naamini itafika mahali tutakuwa na system nzuri ya kushughulikia mambo ya ndoa. Tukiachwa hivi hivi, kizazi hiki kitaangamia!