Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Pole,dah unahitaji kubembelezwaHii sizungumzii maana nimetendwa mpaka basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole,dah unahitaji kubembelezwaHii sizungumzii maana nimetendwa mpaka basi
Pole,dah unahitaji kubembelezwa
....wakati nikijiandaa kuwasha mishumaa kusubiria mwaka 2012, hebu tutafakari na kujadiliana hili. Wazee wetu walidumu kwenye viapo vya ndoa zao kwa kuzingatia misingi ya mila na tamaduni zao, imani za kidini na mitazamo ya kijamii tofauti na kasi ya kuvunjika kwa ndoa kwa miaka hii ya sasa. Nini mtazamo wako kuhusiana na janga hili la kitaifa na kimataifa...![]()
mfano; haijalishi mmeoana kijijini, mnapokuja mjini na mke anapoacha msingi wa ndoa aliyokuzwa nayo, ndoa itayumba, ...na hili pia lishawakumba hata wale waliokwenda ng'ambo na wake zao..." kipofu kaona mwezi, au alalaye usimwamshe?"....
Je, mporomoko wa NDOA ZA KISASA unachangiwa na wanawake kujua haki zao dhidi ya mifumo dume iliyotawala tangu enzi za mababu, na misingi ya imani za kidini, au?
Jadili
ninayo hiyo hudumaTena sana na kukumbatiwa
mkuu hapo umewaza,na sio kujua haki zao tu,pia wanatetewaSwahiba/.... wakati wewe unajiandaa kuwasha mshumaa,
Mie nawasha tochi kabisa kuupa heshima yote mwaka 2011... A YEAR THAT WAS/IS, which has been the most exciting year in my life, positively, negatively and every between
My response to this (yet another platinum release) thread of your ni kama ifuatavyo;
Ndoa za zamani hazikua na mikito ya sasa, lakini nazo zilikua na misukosuko yao... waweza pata hayo kuanzia nyimbo za enzi ya shingo ya upanga, moyo wangu, dereva fanya upesi, nalia na moyo, usiondoke you name it; whatever we experience now, ilikuwepo but in a different density
tuonacho sasa ni kuendana tu na kukua kwa technology na knowledge among us (of course with unfortunate muanguko wa wisdom kidogo
KUFUPISHA... MPOROMOKO WA KISASA UNACHANGIWA NA YAFUATAYO
akina mama kujua haki zao zaidi
power of knowledge and alternative life style ambazo zamani zilikua hakuna
public flexibility
Mwisho kabisa ni ile necha ya binadamu kuendelea kuvumbua alternatives, tunaona haki za ndoa za jinsia moja, sayansi hasa IT ilivyoweza kufumua mambo ya tabia na vichocheo vya mwili ambavyo havikuwepo, utundu wa asili wa binadamu na pia ile nafasi ya mwanaume kuwa neutralized na vitu kama ajira, shule, sinema, redio nk... (i guess zamani mume/mke alikua ndio source primary ya habari, mbinu mpya na kila kitu
sometimes huwa nawaza, je Yesu au Mtume Muhammad (SAW) wangekuwepo enzi hizi za twitter, facebook, JF, satellite nk wangekua wana hali gani??? kwani hata akipiga ushuzi tu, dunia itajua
In short current world is dynamics and people have more options than just a MARRIAGE.... AND MARRIAGE IS SLOWLY TURNING INTO "JUST ANOTHER OPTIONS FOR LIVING A COMFORTABLE LIFE"
nakuacha na swali: Kama sio uchoyo wa watawala wa mwazo (werevu) ndoa ingekuwa nucleus ya human reproduction?
women empowerment ndo inawatetea na kutukandamiza sisi wanaume
...mkuu, narudia tena...sheria zote za kisasa zina lengo la kumkandamiza mwanaume...huko tunakoelekea, madhali tumeamua kuacha mila na desturi zetu...vitabu na miongozo ya kidini tunaikiuka...tunakumbana na sheria na haki zinazompa nguvu mwanamke kukuamulia maisha yako baada ya kukudai talaka!....
...unakumbuka uligusia wale wanaume wa scandinavia wanavyosaga meno?
aisee mimi maishani mwangu sikujua kwanini hawa watu wanaishia homeless mpaka nimekuja ughaibuni ndio
akili imeniingia...no wonder hata makanisa yao hayajai watu hawa....wanawake wanategemea nguvu za kisheria ajabu! Nasi ndiko tunakoelekea huko!
Hahahahaha, kwahiyo tatizo lipo kwenye kuolewa tu?Kama haolewi anaweza kwenda nae?Hata hivyo, sheria ya ndoa ya Tanzania inatoa nafasi ya mzazi mwenye uwezo kuwachukua watoto endapo wamepita umri ambao ni lazima wake na mama tu (sina hakika ila nadhani ni hadi miaka 10)!!
Ila kama mke wangu kaolewa na mume mwingine siwezi kukubali aende na mtoto wangu hata kama ana mwezi 1!!
AND MARRIAGE IS SLOWLY TURNING INTO "JUST ANOTHER OPTIONS FOR LIVING A COMFORTABLE LIFE"
Bora mimi sina mume kha?
mimi nadhani wazazi muwaelimishe watoto kuhusu ndoa tusisubiri mpaka kitchen party, na tutumie vitabu vya dini pia kuwaelewesha watoto, tukae nao mara kwa mara na kuwaelewesha maisha jinsi yalivyo including ndoa ili mtoto aone dhamani ya kuwa mke/mume, na nyyie wazazi muache ubusy....umeandika na kuchambua vizuri sana, na umegusia kitu kimoja kizuri sana...thamani ya ndoa.
Nakubaliana nawe sana thamani ya ndoa imeshuka kwa kiwango kikubwa, sasa je...iwapo sie wa kizazi hiki
tumefikia hapa,...huko tunakoelekea itakuwaje yarabi?....nani alaumiwe kwa janga hili?
...kuna lolote linaloweza tuepusha na gharika hizi au ndio tusubiri "mesina" kama ya Nuhu?
Ila akija kugundua baba aliyemlea si wake atakutafuta,sema tu atagunduaje?
Lol! Umejibu vema! Mume hajitambulishi! Unaweza kuwa na cheti umeki-frame kabisa lakini mume=0!
Bora mimi sina mume kha?
Umepigwa/piga kibuti kuanzai lini?