Kila sababu mlizojitahidi kuelezea ni nzuri. Ipo moja kubwa sana. Wanawake wa sikuhizi mmepotoza dhamani yenu kabisa kabisa kabisa. Hebu tuangalie picha za mama zetu kwanza halafu tuangalie na hizi za dada zetu. Zinafanana?
Kumbukeni kuwa kudumi kwa ndoa kunategemea sana mapenzi kati ya wahusika. Na mjue kuwa sikuzote mwanaume humpenda mwanamke sababu ya
1st appear ency. Kwa kweli hakuna mtu amaye huwa anasahau event yeyote ile ya mara ya kwanza maishani mwake.

Hii na safi sana na wanawake wa aina hii hudumu kwenye ndoa sana tu.

Hizi ni katani wazopenda kuweka kichwani wadada zetu.

Haya ni masizi machoni na shado ambazo huwa zinatengenezwa kwa kutumia placenta ya wanawake.

Uchafu mtupu.

Safi sana hiii ndo inatakiwa.

Safi pia. Mwanamke uhalisia bwana.

Katani. Ovyo.
Nakuja kwenye point. Je, mwanaume alipokutongoza kwa mara ya kwanza ulikuwa kwenye hali gani? Sikuzote ukivuta mpira huradia hali yake mara utakapoachiliwa tu. Wanawake mtaweka kila takatakata mwilini mwenu ila siku ukiacha tu eidha sababu hukuwa na hela au uliumwa au vyovyote vile, Nakwambia huyo mwanaume atakuacha tu. Au atakuwa wa kugombana na wewe mpaka kuachana.
Je hamjawahi kuona ndoa nyingine mwanamke kama dume vile na hana muda wa kuweka takataka mwilini mwake, na anapendwa mpaka basi. Yaani mpaka watu wanajiuliza je, huyu mwanaume alilazimishwa kuoa au?
Kwanini nazungumzia wanawake tu? Kwasababu nyumba si mwanaume. Nyumba mwanamke bwana.
Je wanawake wafanyaje basi?
1. Jaribu kuwa asilia na achana na ubandia.
2. Nyenyekeeni kwa wanaume wenu ili upate kudeke na kudekezwa.
3. Usiwe mchowo wa penzi kwa mumeo, mpe dozi kamili.
4. Usiwe wa kupayuka payuka maneno.
5. Penda kuzungumza nae maneno laini na kwa sauti ya chini.
Nakwambia kama mwanamke anaijua nafasi yake kwenye ndoa, akazingaia hayo juu........kamwe mwanaume hatodhubutu kutia mguu njee.
Kama nimewasaidieni kwenye mjadala huu nijulisheni na penye maswali, sawa leteni. Pia kama kuna anayependa nizingumzie kiundani hayo maandishi mekundu juu. Asanteni