NDOA: Zamani vs Siku hizi

NDOA: Zamani vs Siku hizi

Aiseee hii mada tamu sana, ila wanaume wa siku hizi kwanza anaona kukuoa ni kama favour flan anakupa, ndo maana hata akiwa anatongoza tu anatanguliza ntakuoa, na akisha kuoa anategemea so much from you (to replace his mother) wakati huo yeye hayupo prepared to do anything hata vile vidogo anavyotakiwa kufanya.

Pili anaona amekupa favour kukubebesha minba, kwani anauwezo wa kuwapa wanawake wengine. now imagine living with a man with this kind of mindset ndo maana watu hawadumu na hizo ndoa,

...dahhh, ....mzee DC si unayaona mambo haya ya kisasa?
yaani vijana ishafikia hatua kuoa anaona anamfanyia favor msichana,
basi hata mimba? ,.....hii ni balaa tuendako.

...sasa mkuu kishindo kinakuja je?

kama ndoa zilikuwa ndio mhimili madhubuti wa familia, leo hii ndoa zinapuuziwa as if ni optional tu?
vipi athari zake kwa watoto na vizazi vijavyo? tunatengeneza taifa na watu wa aina gani, maana ikumbukwe... hapo zamani za kale, ndoa ilihusisha FAMILIA.

Mbu,

Ni hatari na pia haiwezekani kujaribu kuyachota maji ambayo tayari yameshamwagika......The past is gone and we only have to deal with what we have on the table...!!

Maadili ya zamani yalikuwa na baadhi ya elements nzuri sana ila ndo hivyo yametoweka, ni jukumu letu kutengeneza rainbow system itakayoweza kukabiliana na mazingira ya sasa...We will be losers to hang on hoping that things will be ok, which in fact will never happen!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aiseee hii mada tamu sana, ila wanaume wa siku hizi kwanza anaona kukuoa ni kama favour flan anakupa, ndo maana hata akiwa anatongoza tu anatanguliza ntakuoa, na akisha kuoa anategemea so much from you (to replace his mother) wakati huo yeye hayupo prepared to do anything hata vile vidogo anavyotakiwa kufanya.

Pili anaona amekupa favour kukubebesha minba, kwani anauwezo wa kuwapa wanawake wengine. now imagine living with a man with this kind of mindset ndo maana watu hawadumu na hizo ndoa,

Sorry dada,

Mie ni mwanamume, ila mtu wa namna hiyo (simuiti tena mwanamume) ni KIRUSI!!

Babu DC!!
 
...dahhh, ....mzee DC si unayaona mambo haya ya kisasa?
yaani vijana ishafikia hatua kuoa anaona anamfanyia favor msichana,
basi hata mimba? ,.....hii ni balaa tuendako.

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kila sababu mlizojitahidi kuelezea ni nzuri. Ipo moja kubwa sana. Wanawake wa sikuhizi mmepotoza dhamani yenu kabisa kabisa kabisa. Hebu tuangalie picha za mama zetu kwanza halafu tuangalie na hizi za dada zetu. Zinafanana?

Kumbukeni kuwa kudumi kwa ndoa kunategemea sana mapenzi kati ya wahusika. Na mjue kuwa sikuzote mwanaume humpenda mwanamke sababu ya 1st appear ency. Kwa kweli hakuna mtu amaye huwa anasahau event yeyote ile ya mara ya kwanza maishani mwake.

images (2).jpgHii na safi sana na wanawake wa aina hii hudumu kwenye ndoa sana tu.
images (6).jpgHizi ni katani wazopenda kuweka kichwani wadada zetu.
images.jpgHaya ni masizi machoni na shado ambazo huwa zinatengenezwa kwa kutumia placenta ya wanawake.
images (1).jpgUchafu mtupu.
images (3).jpgSafi sana hiii ndo inatakiwa.
images (4).jpgSafi pia. Mwanamke uhalisia bwana.
images (5).jpgKatani. Ovyo.

Nakuja kwenye point. Je, mwanaume alipokutongoza kwa mara ya kwanza ulikuwa kwenye hali gani? Sikuzote ukivuta mpira huradia hali yake mara utakapoachiliwa tu. Wanawake mtaweka kila takatakata mwilini mwenu ila siku ukiacha tu eidha sababu hukuwa na hela au uliumwa au vyovyote vile, Nakwambia huyo mwanaume atakuacha tu. Au atakuwa wa kugombana na wewe mpaka kuachana.

Je hamjawahi kuona ndoa nyingine mwanamke kama dume vile na hana muda wa kuweka takataka mwilini mwake, na anapendwa mpaka basi. Yaani mpaka watu wanajiuliza je, huyu mwanaume alilazimishwa kuoa au?

Kwanini nazungumzia wanawake tu? Kwasababu nyumba si mwanaume. Nyumba mwanamke bwana.

Je wanawake wafanyaje basi?
1. Jaribu kuwa asilia na achana na ubandia.
2. Nyenyekeeni kwa wanaume wenu ili upate kudeke na kudekezwa.
3. Usiwe mchowo wa penzi kwa mumeo, mpe dozi kamili.
4. Usiwe wa kupayuka payuka maneno.
5. Penda kuzungumza nae maneno laini na kwa sauti ya chini.

Nakwambia kama mwanamke anaijua nafasi yake kwenye ndoa, akazingaia hayo juu........kamwe mwanaume hatodhubutu kutia mguu njee.

Kama nimewasaidieni kwenye mjadala huu nijulisheni na penye maswali, sawa leteni. Pia kama kuna anayependa nizingumzie kiundani hayo maandishi mekundu juu. Asanteni
 
Mbu,

Zipo sababu mbalimbali na nafikiri wachangiaji wengi watakuwa tayari wameshazoghusia hapo juu. Kwa kuongezea tuu ni kwamba siku hizi watu wengi wako kwenye maisha ya ndoa kwa sababu ambazo ni mbovu. Chris Mauki ambaye ni Counselor and Social Psychologist wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ametoa sababu sita mbovu za kuingia kwenye ndoa ambazo zinasababisha ndoa kuvunjika mapema.

Kwanza, siku hizi watu wengi wanaingia katika masiha ya ndoa kwa lengo la kusaidiwa au kuongeza kiwango cha kiuchumi walicho nacho. Hapa ndio unakuta baadhi wamewageuza wapenzi wao kuwa mitaji au rasilimali ya kuwaondoa wao pamoja na ndugu zao kutoka kwenye umasikini. Matokeo yake ni kwamba kama hao wapenzi wakifilisika au wakiwa wagumu kutoa mitaji, then hapo ndio mwisho wa ndoa. Itabidi mitaji itafutwe sehemu nyingine.

Pili, tofauti na zamani siku hizi watu wanaamua kuoa/kuolewa kwa hofu ya umri kupita na kuzeeka. Mathalani, akina dada wengine wamejikuta wakiwakubali wanaume wa aina yoyote ili mradi tu nao waolewe kwa sababu ya umri kuwakumbia. Hapa unakuta mwanaume anakuwa under pressure kuoa. Matokeo yake ndoa inaishia kwenye talaka na kutengana as the man was not ready. Wengine kutokana na umri kwenda mbio wanaoa/olewa kwa kiu ya kupata watoto. Hapo kinachomater ni mradi wameoa/olewa.

Tatu, wengine wanaingia kwenye ndoa sababu ya mimba au mtoto aliyepatikana kabla ndoa. Sababu iliyowapelekea kuzaa mtoto siyo iliyowapelekea kuoana.

Nne, wengine wanaoa/olewa kutokana na shinikizo la wazazi, ndugu au marafiki. Mbaya zaidi unakuta baadhi ya wazazi wanalazimisha watoto wao kuoa/olewa na watu fulani kwa sababu fulani kama kulinda utajiri, matarajio binafsi, nk . Hata zamani kulikuwa na arranged marriages lakini inasemekana kuwa kabla ya kufanya hizo arranged marriages, wazazi wa pande zote mbili walikuwa wanafanya uchunguzi kwanza kama kama hao watoto wao wanaoana. Nafikiri Faiza Foxy amezungumzia hili neno hapo juu. Ilikuwa sio kuoa au kuolewa bali kuoana (compatibility). Uchunguzi ulikuwa unaangalia koo, hulka na tabia za koo ya pili wanayotaka kufunga nayo udugu, tabia zote za familia na ukoo husika. Siku hizi hili halifanyiki tena kutokana na sababu mbalimbali including urbanization.

Tano, siku hizi wapo wanaoa/olewa ili kupata uhuru. Hii hutokea sana kwa wale ambao kwao ni geti kali; waliozoea kubanwa sana na wazazi katika kila wafanyacho hususani katika maamuzi. Wanachoka kuamuliwa na kuwekewa masharti ya kuvaa, kula, kufanya mambo, kutoka na kurudi kwa muda kwa hiyo wanadhani ndoa ndio itawachomoa kifungoni hapo. Lakini wakiingia kwenye ndoa wanakuta nako wanakuta mambo ni yale yale.

Sita, wengine hulazimika kuingia kwenye maisha ya ndoa kwa sababu ya upweke. Wakati wakiwa single huwa wanadhani kuwa ndoa ndiyo inayoweza kuwa utatuzi mkubwa wa tatizo la upweke. Lakini wakiingia kwenye ndoa wanakuta upweke bado upo. Hapo lazima ndoa ivunjike.

Huu uzi umenikumbusha the powerful lyrics zilizopo kwenye huu wimbo.

Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu na jinsi nilivyo expirience ndoa yangu (zaidi ya miaka 30) na jinsi nilivyoamua na kusikiliza kesi nyingi sana zinazohusiana na wana ndoa, tatizo si "mfumo dume".

Tatizo nnaloliona mimi kubwa zaidi katika ndoa ni "incompatibility". Kwa maana halisi ya neno la Kiswahili "kuoana", chukulia mfano wa viatu, viatu ili uvivae ni lazima "Vioane" huwezi kuvaa "stiletto" mguu mmoja na ukavaa "kanda mbili mguu mwingine" ni simply havioani. Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa. Zamani wazee wetu walikuwa wanaijuwa namna ya "kuoana" na si kuowa au kuolewa. Ndoa za zamani nyingi zilikuwa ni arranged, na mchumba huchunguzwa na ndugu au wazee wa pande zote na wakiona hawa "wanaoana" ndio hutimiza mambo ya ndoa.

Siku hizi ni "different", tunataka kutafuta wenyewe tuolewe au tuowe na tuliyemtafuta. Hii hupelekea kila mmoja kuwa "actor" au "actress" kwa mwenzie, lakini inapofikia "reality" inabidi "acting" ife, na hapo ndipo huanza matatizo yote.

umeomgea ukweli kabisa compatibilty ni jambo la muhimu sana katika ndoa bila hivyo ndoa hazidumu kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa mtazamo wangu na jinsi nilivyo expirience ndoa yangu (zaidi ya miaka 30) na jinsi nilivyoamua na kusikiliza kesi nyingi sana zinazohusiana na wana ndoa, tatizo si "mfumo dume".

Tatizo nnaloliona mimi kubwa zaidi katika ndoa ni incompatibility". Kwa maana halisi ya neno la Kiswahili "kuoana", chukulia mfano wa viatu, viatu ili uvivae ni lazima "Vioane" huwezi kuvaa "stiletto" mguu mmoja na ukavaa "kanda mbili mguu mwingine" ni simply havioani. Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa. Zamani wazee wetu walikuwa wanaijuwa namna ya "kuoana" na si kuowa au kuolewa. Ndoa za zamani nyingi zilikuwa ni arranged, na mchumba huchunguzwa na ndugu au wazee wa pande zote na wakiona hawa "wanaoana" ndio hutimiza mambo ya ndoa.

Siku hizi ni "different", tunataka kutafuta wenyewe tuolewe au tuowe na tuliyemtafuta. Hii hupelekea kila mmoja kuwa "actor" au "actress" kwa mwenzie, lakini inapofikia "reality" inabidi "acting" ife, na hapo ndipo huanza matatizo yote.

Heshima Faiza Foxy...umegusa kitu cha msingi sana 'kuoana' ndani yake kuna mawasiliano ya kutosha..tena walio oana ni wabinafsi-pendo, yaani wao kwanza kwa kila jambo...mbu sioni sababu ya leo tuyumbe ktk hili maana elimu na maarifa yameongezeka mno shida ni kukurupuka na tamaa(NATAKA nioe/niolewe na mwenye hiki na kile)...ndani ya kuoana ni maisha ya wawili yasisiyo na maigizo wala mwisho...
 
Kumbukeni kuna watu wanaoana au kuoa kwa kufuata mkumbo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nawashukuru wote mliochangia ktk thread, point ni nyingi sana tena nzuri lakini sidhani ka wote mliochangia mmethubutu kutamka hili neno "VIRGINITY" Hapa tunakwepa ukweli tu ila mtu akishaonja chips, baga, na vyakula vingine vizuri vizuri huwezi kuja kumfuga kwa kumpa ugali na wali eti kudumisha jadi, IMPOSSIBLE!!!!!!!!!!!

ndivyo ilivyo kwenye suala la ndoa,
mtu amashazoea kila staili, ladha, maumbile tofauti tofauti, huwezi kuja kumdumisha ktk ladha ya m2 mmoja tu kisa eti ni mume wake au mke wake; IMPOSSIBLE!!!!!!!!!

WAPENDWA TUKAE CHINI TUKUMBUKE YALE WALIYO KUWA NAYO BABU NA BIBI ZETU; KAMWE HATUWEZI KUYAPATA MAISHA YALE UNLESS TUKIWEZA KURUDISHA WHAT TUNAITA VIRGINITY, ulimkuta mdada au mkaka wanaona hamjui mtu mwingine, je angewezaje kujua kuna ladha tofauti ktk yale mambo uklinganisha na sasa hv.

hayo ndiyo yangu kwa sasa; labda nitarudi mwaka ujao wapendwa!!!!

Saddy Old Year 2011 but HAPPY NEW YEAR 2012
 
djil4 rudii..ndoa nadhani ni zaidi ya mhogo na kitumbua...hata hao walioonja na kuonja bado nao wakikutana na ideal wao hutulia kabisa bila kutazama kulia wala kushoto...bikira wa leo siyo wa jana-UTANDAWAZI-mwisho wa siku naye atajua tu kama kiota alichomo ni ndio ama la..hata ndoa za mabikira leo zinavunjika.. tunarudi kule kule kwa faiza foxy,teamo(tuisikilize mioyo!)
 
nawashukuru wote mliochangia ktk thread, point ni nyingi sana tena nzuri lakini sidhani ka wote mliochangia mmethubutu kutamka hili neno "VIRGINITY" Hapa tunakwepa ukweli tu ila mtu akishaonja chips, baga, na vyakula vingine vizuri vizuri huwezi kuja kumfuga kwa kumpa ugali na wali eti kudumisha jadi, IMPOSSIBLE!!!!!!!!!!!

ndivyo ilivyo kwenye suala la ndoa,
mtu amashazoea kila staili, ladha, maumbile tofauti tofauti, huwezi kuja kumdumisha ktk ladha ya m2 mmoja tu kisa eti ni mume wake au mke wake; IMPOSSIBLE!!!!!!!!!

WAPENDWA TUKAE CHINI TUKUMBUKE YALE WALIYO KUWA NAYO BABU NA BIBI ZETU; KAMWE HATUWEZI KUYAPATA MAISHA YALE UNLESS TUKIWEZA KURUDISHA WHAT TUNAITA VIRGINITY, ulimkuta mdada au mkaka wanaona hamjui mtu mwingine, je angewezaje kujua kuna ladha tofauti ktk yale mambo uklinganisha na sasa hv.

hayo ndiyo yangu kwa sasa; labda nitarudi mwaka ujao wapendwa!!!!

Saddy Old Year 2011 but HAPPY NEW YEAR 2012

Samahani Ngoja niwaongezee kulifafanua hili kiundani sasa.

Kuna sehemu kule juu nilizungumzia kuwa kila mtu maranyingi hukumbuka event yoyote ile ya kwanza aliyowahi ifanya na labda kama ana matatizo? Ni hivi basi: Hakuna mwanaume aliyesahau kuwa ni mwanamke gani aliye mtoa bikra yake. Vivyo hivyo hakuna mwanamke anayewezamsahau mwanaume ambaye ndiye aliyemtoa bikira.

Ninachomaanisha ni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana wa ubikira kati ya mwanamke na mwanaume. Kama mwanamke alishawahi kuwa na mwanaume mwingine kabla ya kuwa na wewe basi wewe hujawa wa thamani kwake hata kidogo hata kama atakueleza kwa maneno matamu vipi, kwa sabatu siku yake ya kwanza hakufanya na wewe na hata siku akikutana na mwanaume aliyemtoa bikra, atampa heshima yote tena kimoyomoyo.

Damu inayomwagika siku mwanamke anatolewa bikra ni agano na linamaana kwake Mungu mwenyewe. Ile ni damu inayoonesha kuwa kunaunganishwa nafsi mbili kama mke na mume.

Sasa kama mwanaume alitolewa na mwanamke mwingine, anakutana na mwanamke aliyetolewa na mwanaume mwingine!!!! Je, unategemea kuna ndoa hapo??? Maranyingi ndoa za aina hii huwa hazidumu kabisa na kama zitajitahidi kudumu hakutakuwa na amani na itakuwa ni ndoa ya maumivu mpaka mwisho. Na watoto watakaozaliwa hapo.......sijui.

Siwalaumu walio kwenye mahusiano kama hayo tayari ila niwaombeni kitu TULIENI NA MPENZI MMOJA TU, na muwe na maamuzi au chaguo lililo sahihi.

Ki ufupi mimi ni kijana wa miaka 25 tu. Sikuwahi kufanya tendo la ndoa hata siku, mpaka mwaka jana nikiwa na miaka 24. Na tulikuwa kama marafiki baaba ya kumtongoza kwa miaka mitatu, na ndo mwaka 2010 mara ya kwanza. Nabahati niliyempata nilitoboa mimi mwenyewe. Namweshimu kupita kiasi. Nipo radhi nimwendee kwa magoti pale nimkoseapo kwa chochote kile. Naelewa ni wachache sana na wanaume wengi huwa hawapendi kunyenyekea sana. Niwape siri moja..........Asilimia kubwa ya wanaume wote wasiopenda kunyenyekea pale wanapowakosea wake zao ni wale wanaojua wanawake kupita maelezo. Namaanisha mwanamke aliye naye si wa kwanza kwake. Au kama si hivyo basi mwanamke aliye naye hakukutwa bikra na huyo mwanaume. Unategemea huyo mwanaume atakuheshimu wapi????? Sahau iyo.

Muda hauruhusu tuonane mwakani. Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....kuna mambo yalikuwa kama taboo kwa siku za nyuma ambayo kwa kizazi hiki imekuwa kama kawaida sasa...
mke kuanzisha bifu na mama mkwe na mawifi....

hii haikuwapo zamani, maana mke ilikuwa ni taswira ya ukoo aliotoka...
miaka ya hivi karibuni, imekuwa vice versa,....mke akiolewa inakuwa kama nani zaidi, yeye au familia ya mume!
kishindo heavy! ....pheewww, mnisamehe dada zangu, ila nanyi ni mawifi na wakwe watarajiwa...
 
Samahani Ngoja niwaongezee kulifafanua hili kiundani sasa.

Kuna sehemu kule juu nilizungumzia kuwa kila mtu maranyingi hukumbuka event yoyote ile ya kwanza aliyowahi ifanya na labda kama ana matatizo? Ni hivi basi: Hakuna mwanaume aliyesahau kuwa ni mwanamke gani aliye mtoa bikra yake. Vivyo hivyo hakuna mwanamke anayewezamsahau mwanaume ambaye ndiye aliyemtoa bikira.

Ninachomaanisha ni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana wa ubikira kati ya mwanamke na mwanaume. Kama mwanamke alishawahi kuwa na mwanaume mwingine kabla ya kuwa na wewe basi wewe hujawa wa thamani kwake hata kidogo hata kama atakueleza kwa maneno matamu vipi, kwa sabatu siku yake ya kwanza hakufanya na wewe na hata siku akikutana na mwanaume aliyemtoa bikra, atampa heshima yote tena kimoyomoyo.

Damu inayomwagika siku mwanamke anatolewa bikra ni agano na linamaana kwake Mungu mwenyewe. Ile ni damu inayoonesha kuwa kunaunganishwa nafsi mbili kama mke na mume.

Sasa kama mwanaume alitolewa na mwanamke mwingine, anakutana na mwanamke aliyetolewa na mwanaume mwingine!!!! Je, unategemea kuna ndoa hapo??? Maranyingi ndoa za aina hii huwa hazidumu kabisa na kama zitajitahidi kudumu hakutakuwa na amani na itakuwa ni ndoa ya maumivu mpaka mwisho. Na watoto watakaozaliwa hapo.......sijui.

Siwalaumu walio kwenye mahusiano kama hayo tayari ila niwaombeni kitu TULIENI NA MPENZI MMOJA TU, na muwe na maamuzi au chaguo lililo sahihi.

Ki ufupi mimi ni kijana wa miaka 25 tu. Sikuwahi kufanya tendo la ndoa hata siku, mpaka mwaka jana nikiwa na miaka 24. Na tulikuwa kama marafiki baaba ya kumtongoza kwa miaka mitatu, na ndo mwaka 2010 mara ya kwanza. Nabahati niliyempata nilitoboa mimi mwenyewe. Namweshimu kupita kiasi. Nipo radhi nimwendee kwa magoti pale nimkoseapo kwa chochote kile. Naelewa ni wachache sana na wanaume wengi huwa hawapendi kunyenyekea sana. Niwape siri moja..........Asilimia kubwa ya wanaume wote wasiopenda kunyenyekea pale wanapowakosea wake zao ni wale wanaojua wanawake kupita maelezo. Namaanisha mwanamke aliye naye si wa kwanza kwake. Au kama si hivyo basi mwanamke aliye naye hakukutwa bikra na huyo mwanaume. Unategemea huyo mwanaume atakuheshimu wapi????? Sahau iyo.

Muda hauruhusu tuonane mwakani. Asanteni

Dr Rony...hivi bikra hutangulia mapenzi?-yaani unampeleka hosp. then ukijua anayo unaanza kumlove....mboni mswati hajaridhika na ile ya 1 na yeye anapigiwa sana pamoja na kuzitoa.... dr utajafungwa ndugu yangu maana hizo kitu ziko tele age 0-12...angali hizo mambo zinatengenezwa sana usije shangilia ya barmaid..ooh!
 
hapo nimekupa sana mkuu,
bikra haitangulii mapenzi ila huchochea kuimarika kwa mapenzi ni kama appetizer kwa msosi haiongezi njaa bali uongeza hamu ya kula na tamanio la kula msosi wa namna ile kila mara.

ki2 kimoja hujaelewa ni kwamba sisi tunazungumza uhalisi wa ndoa kudumu kwa kupendana kutoka moyoni. kama utakutana na bikra ya kutengenza basi tayari huyo demu atakuwa tayari ameshakudanganya ali hali kwa upande wako utakuwa unampenda sana, yeye atakuwa na dharau kwako na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuvunjika kwa ndoa yenu.

mie huko simo wakuu; hata mm wa kwangu niliitoboa mwenyewe, nikimkosea tu huwa moyo unanipasuka ka vile nimechomwa na msumari na siamini ka anaweza kunisaliti labda nimfumanie
 
djil4 heri ya mwaka mpya kaka...nashukuru kwa maelezo yako...Daudi/Bertsheba wakafall in love (ideal love) mbele akamwoa akamzalia mwana Suleiman(akamjengea Mungu hekalu) Hapa tunaona mapenzi ya kweli ndio kila kitu...djil4 imeandikwa ukilala tu na mwanamke(anayo au la) mnakuwa mwili mmoja...usiogope mke hawezi leta dharau asilani mindhali you love each other...USIPIGIE magoti m'ke kwani umeua? usijisalimishe so easily ni vibaya uliza wakubwa..happy new year!..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
katika maada hii mimi na changia kama ifaatavyo ndoa za siku hizi wengi tunakurupuka ,hatujipi muda wakutosha wakuchunguzana pili hatukuzijua familia za wenzetu vizuri tofauti na zamani wazee walituma watu kwenda kuchunguza familia zawezetu wanaishi vipi
 
nawashukuru wote mliochangia ktk thread, point ni nyingi sana tena nzuri lakini sidhani ka wote mliochangia mmethubutu kutamka hili neno "VIRGINITY" Hapa tunakwepa ukweli tu ila mtu akishaonja chips, baga, na vyakula vingine vizuri vizuri huwezi kuja kumfuga kwa kumpa ugali na wali eti kudumisha jadi, IMPOSSIBLE!!!!!!!!!!!

ndivyo ilivyo kwenye suala la ndoa,
mtu amashazoea kila staili, ladha, maumbile tofauti tofauti, huwezi kuja kumdumisha ktk ladha ya m2 mmoja tu kisa eti ni mume wake au mke wake; IMPOSSIBLE!!!!!!!!!

WAPENDWA TUKAE CHINI TUKUMBUKE YALE WALIYO KUWA NAYO BABU NA BIBI ZETU; KAMWE HATUWEZI KUYAPATA MAISHA YALE UNLESS TUKIWEZA KURUDISHA WHAT TUNAITA VIRGINITY, ulimkuta mdada au mkaka wanaona hamjui mtu mwingine, je angewezaje kujua kuna ladha tofauti ktk yale mambo uklinganisha na sasa hv.

hayo ndiyo yangu kwa sasa; labda nitarudi mwaka ujao wapendwa!!!!

Saddy Old Year 2011 but HAPPY NEW YEAR 2012

Una maana kwamba vijana wa siku hizi ambao wengine wanafikiria kuoa baada ya kufikia miaka 30 wabaki bikira hadi wakati huo na vishawishi vyote vinavyowazunguka?? I think that is not realistic,

Wazee wetu walikuwa wanaanzisha ndoa kabla ya kufikisha miaka 20....Tunaweza kufanya hivyo leo??
 
Back
Top Bottom