Aiseee hii mada tamu sana, ila wanaume wa siku hizi kwanza anaona kukuoa ni kama favour flan anakupa, ndo maana hata akiwa anatongoza tu anatanguliza ntakuoa, na akisha kuoa anategemea so much from you (to replace his mother) wakati huo yeye hayupo prepared to do anything hata vile vidogo anavyotakiwa kufanya.
Pili anaona amekupa favour kukubebesha minba, kwani anauwezo wa kuwapa wanawake wengine. now imagine living with a man with this kind of mindset ndo maana watu hawadumu na hizo ndoa,
...sasa mkuu kishindo kinakuja je?
kama ndoa zilikuwa ndio mhimili madhubuti wa familia, leo hii ndoa zinapuuziwa as if ni optional tu?
vipi athari zake kwa watoto na vizazi vijavyo? tunatengeneza taifa na watu wa aina gani, maana ikumbukwe... hapo zamani za kale, ndoa ilihusisha FAMILIA.
Aiseee hii mada tamu sana, ila wanaume wa siku hizi kwanza anaona kukuoa ni kama favour flan anakupa, ndo maana hata akiwa anatongoza tu anatanguliza ntakuoa, na akisha kuoa anategemea so much from you (to replace his mother) wakati huo yeye hayupo prepared to do anything hata vile vidogo anavyotakiwa kufanya.
Pili anaona amekupa favour kukubebesha minba, kwani anauwezo wa kuwapa wanawake wengine. now imagine living with a man with this kind of mindset ndo maana watu hawadumu na hizo ndoa,
...dahhh, ....mzee DC si unayaona mambo haya ya kisasa?
yaani vijana ishafikia hatua kuoa anaona anamfanyia favor msichana,
basi hata mimba? ,.....hii ni balaa tuendako.
Kwa mtazamo wangu na jinsi nilivyo expirience ndoa yangu (zaidi ya miaka 30) na jinsi nilivyoamua na kusikiliza kesi nyingi sana zinazohusiana na wana ndoa, tatizo si "mfumo dume".
Tatizo nnaloliona mimi kubwa zaidi katika ndoa ni "incompatibility". Kwa maana halisi ya neno la Kiswahili "kuoana", chukulia mfano wa viatu, viatu ili uvivae ni lazima "Vioane" huwezi kuvaa "stiletto" mguu mmoja na ukavaa "kanda mbili mguu mwingine" ni simply havioani. Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa. Zamani wazee wetu walikuwa wanaijuwa namna ya "kuoana" na si kuowa au kuolewa. Ndoa za zamani nyingi zilikuwa ni arranged, na mchumba huchunguzwa na ndugu au wazee wa pande zote na wakiona hawa "wanaoana" ndio hutimiza mambo ya ndoa.
Siku hizi ni "different", tunataka kutafuta wenyewe tuolewe au tuowe na tuliyemtafuta. Hii hupelekea kila mmoja kuwa "actor" au "actress" kwa mwenzie, lakini inapofikia "reality" inabidi "acting" ife, na hapo ndipo huanza matatizo yote.
Kwa mtazamo wangu na jinsi nilivyo expirience ndoa yangu (zaidi ya miaka 30) na jinsi nilivyoamua na kusikiliza kesi nyingi sana zinazohusiana na wana ndoa, tatizo si "mfumo dume".
Tatizo nnaloliona mimi kubwa zaidi katika ndoa ni incompatibility". Kwa maana halisi ya neno la Kiswahili "kuoana", chukulia mfano wa viatu, viatu ili uvivae ni lazima "Vioane" huwezi kuvaa "stiletto" mguu mmoja na ukavaa "kanda mbili mguu mwingine" ni simply havioani. Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa. Zamani wazee wetu walikuwa wanaijuwa namna ya "kuoana" na si kuowa au kuolewa. Ndoa za zamani nyingi zilikuwa ni arranged, na mchumba huchunguzwa na ndugu au wazee wa pande zote na wakiona hawa "wanaoana" ndio hutimiza mambo ya ndoa.
Siku hizi ni "different", tunataka kutafuta wenyewe tuolewe au tuowe na tuliyemtafuta. Hii hupelekea kila mmoja kuwa "actor" au "actress" kwa mwenzie, lakini inapofikia "reality" inabidi "acting" ife, na hapo ndipo huanza matatizo yote.
Heshima Faiza Foxy...umegusa kitu cha msingi sana 'kuoana' ndani yake kuna mawasiliano ya kutosha..tena walio oana ni wabinafsi-pendo, yaani wao kwanza kwa kila jambo...mbu sioni sababu ya leo tuyumbe ktk hili maana elimu na maarifa yameongezeka mno shida ni kukurupuka na tamaa(NATAKA nioe/niolewe na mwenye hiki na kile)...ndani ya kuoana ni maisha ya wawili yasisiyo na maigizo wala mwisho...
Kumbukeni kuna watu wanaoana au kuoa kwa kufuata mkumbo
nawashukuru wote mliochangia ktk thread, point ni nyingi sana tena nzuri lakini sidhani ka wote mliochangia mmethubutu kutamka hili neno "VIRGINITY" Hapa tunakwepa ukweli tu ila mtu akishaonja chips, baga, na vyakula vingine vizuri vizuri huwezi kuja kumfuga kwa kumpa ugali na wali eti kudumisha jadi, IMPOSSIBLE!!!!!!!!!!!
ndivyo ilivyo kwenye suala la ndoa,
mtu amashazoea kila staili, ladha, maumbile tofauti tofauti, huwezi kuja kumdumisha ktk ladha ya m2 mmoja tu kisa eti ni mume wake au mke wake; IMPOSSIBLE!!!!!!!!!
WAPENDWA TUKAE CHINI TUKUMBUKE YALE WALIYO KUWA NAYO BABU NA BIBI ZETU; KAMWE HATUWEZI KUYAPATA MAISHA YALE UNLESS TUKIWEZA KURUDISHA WHAT TUNAITA VIRGINITY, ulimkuta mdada au mkaka wanaona hamjui mtu mwingine, je angewezaje kujua kuna ladha tofauti ktk yale mambo uklinganisha na sasa hv.
hayo ndiyo yangu kwa sasa; labda nitarudi mwaka ujao wapendwa!!!!
Saddy Old Year 2011 but HAPPY NEW YEAR 2012

Samahani Ngoja niwaongezee kulifafanua hili kiundani sasa.
Kuna sehemu kule juu nilizungumzia kuwa kila mtu maranyingi hukumbuka event yoyote ile ya kwanza aliyowahi ifanya na labda kama ana matatizo? Ni hivi basi: Hakuna mwanaume aliyesahau kuwa ni mwanamke gani aliye mtoa bikra yake. Vivyo hivyo hakuna mwanamke anayewezamsahau mwanaume ambaye ndiye aliyemtoa bikira.
Ninachomaanisha ni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana wa ubikira kati ya mwanamke na mwanaume. Kama mwanamke alishawahi kuwa na mwanaume mwingine kabla ya kuwa na wewe basi wewe hujawa wa thamani kwake hata kidogo hata kama atakueleza kwa maneno matamu vipi, kwa sabatu siku yake ya kwanza hakufanya na wewe na hata siku akikutana na mwanaume aliyemtoa bikra, atampa heshima yote tena kimoyomoyo.
Damu inayomwagika siku mwanamke anatolewa bikra ni agano na linamaana kwake Mungu mwenyewe. Ile ni damu inayoonesha kuwa kunaunganishwa nafsi mbili kama mke na mume.
Sasa kama mwanaume alitolewa na mwanamke mwingine, anakutana na mwanamke aliyetolewa na mwanaume mwingine!!!! Je, unategemea kuna ndoa hapo??? Maranyingi ndoa za aina hii huwa hazidumu kabisa na kama zitajitahidi kudumu hakutakuwa na amani na itakuwa ni ndoa ya maumivu mpaka mwisho. Na watoto watakaozaliwa hapo.......sijui.
Siwalaumu walio kwenye mahusiano kama hayo tayari ila niwaombeni kitu TULIENI NA MPENZI MMOJA TU, na muwe na maamuzi au chaguo lililo sahihi.
Ki ufupi mimi ni kijana wa miaka 25 tu. Sikuwahi kufanya tendo la ndoa hata siku, mpaka mwaka jana nikiwa na miaka 24. Na tulikuwa kama marafiki baaba ya kumtongoza kwa miaka mitatu, na ndo mwaka 2010 mara ya kwanza. Nabahati niliyempata nilitoboa mimi mwenyewe. Namweshimu kupita kiasi. Nipo radhi nimwendee kwa magoti pale nimkoseapo kwa chochote kile. Naelewa ni wachache sana na wanaume wengi huwa hawapendi kunyenyekea sana. Niwape siri moja..........Asilimia kubwa ya wanaume wote wasiopenda kunyenyekea pale wanapowakosea wake zao ni wale wanaojua wanawake kupita maelezo. Namaanisha mwanamke aliye naye si wa kwanza kwake. Au kama si hivyo basi mwanamke aliye naye hakukutwa bikra na huyo mwanaume. Unategemea huyo mwanaume atakuheshimu wapi????? Sahau iyo.
Muda hauruhusu tuonane mwakani. Asanteni
Dr Rony...hivi bikra hutangulia mapenzi?-yaani unampeleka hosp. then ukijua anayo unaanza kumlove....mboni mswati hajaridhika na ile ya 1 na yeye anapigiwa sana pamoja na kuzitoa.... dr utajafungwa ndugu yangu maana hizo kitu ziko tele age 0-12...angali hizo mambo zinatengenezwa sana usije shangilia ya barmaid..ooh!
hapo nimekupa sana mkuu,
bikra haitangulii mapenzi ila huchochea kuimarika kwa mapenzi ni kama appetizer kwa msosi haiongezi njaa bali uongeza hamu ya kula na tamanio la kula msosi wa namna ile kila mara.
ki2 kimoja hujaelewa ni kwamba sisi tunazungumza uhalisi wa ndoa kudumu kwa kupendana kutoka moyoni. kama utakutana na bikra ya kutengenza basi tayari huyo demu atakuwa tayari ameshakudanganya ali hali kwa upande wako utakuwa unampenda sana, yeye atakuwa na dharau kwako na huo ndo utakuwa mwanzo wa kuvunjika kwa ndoa yenu.
mie huko simo wakuu; hata mm wa kwangu niliitoboa mwenyewe, nikimkosea tu huwa moyo unanipasuka ka vile nimechomwa na msumari na siamini ka anaweza kunisaliti labda nimfumanie