NDOA: Zamani vs Siku hizi

NDOA: Zamani vs Siku hizi

Sijakupata Mkuu DC naomba ufafanue

lol....mkuu DC usifafanue bana, mjadala huo tutaufanya mwakani inshaallah! hahaha...
tubakie kwenye kuiokoa hii taasisi ya ndoa ibakie kama vitabu vitakatifu, au mila na desturi zilivyotutaka tuizingatie...

enhe, mmeafikiana vipi vile kuhusu hizi haki za ndoa za wanawake wa kisasa?
 
Zilikuwa mara kumi na sita, na wanaume 13. Cha ajabu, mume wa mwanzo ambaye alilazimishwa na jamaa yake, mara ya mwanzo hawakukaa hata mwaka mmoja wakawachana. Badae akaolewa na waume wengine mara nne, mume wa kwanza akamwoa tena na kuishi pamoja miaka 10, wakawachana: Bibi akaendelea kuolewa tena na tena na tena hadi mara 7, mwisho akaja kuolewa na mume yuleyule wa mwanzo mpaka wakafariki wazee, kwanza bwana badae bibi. Cha ajabu, wakati bibi alikuwa anaolewa, bwana alikuwa anasubiri awachwe aoe tena. Very sad, hawakupata watoto.

...very sad indeed japo haijanizuia kucheka, hahahahaha....dahhh?
mungu aniepushe wazo la kurudia nilikotoka aisee...acha tu niendelee kuchagua mabucha!
 
Hii case ina mvuto wa aina yake...

Kuna mambo mengi sana kwenye ndoa ila kama alivyosema BAK, tumezama mno kwenye hizi technolojia za dot com kiasi kwamba mambo kama haya tunayakosa!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Mbu siku hizi maendeleo yamezidi,enzi zile sheria za kimila zilikuwa na nguvu.
Siku hizi mila haziheshimiwi na zimeshapoteza nguvu kutokana na mfumo wa mahakama na sheria zake.
Enzi zile mwanamke anachapwa na hashitaki na kweli walikuwa wanyonge,pia hata wakionewa hawakuweza
kujitetea,kwanza unakuta alilazimishwa kuolewa na mtu ambaye wazazi wake walimchagulia,
kama alikuwa hana uwezo wa kumkataa ambaye hakumpenda je akionewa ndo ataweza?
siku hizi sheria zimepenya kila pembe,mtu akifanya kosa hapigwi kofi,ukimpiga kofi we ndo mvunjivu wa sheria.
Sasa hivi kuna uhuru,usichokipenda hulazimishwi kupenda.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

lol....mkuu DC usifafanue bana, mjadala huo tutaufanya mwakani inshaallah! hahaha...
tubakie kwenye kuiokoa hii taasisi ya ndoa ibakie kama vitabu vitakatifu, au mila na desturi zilivyotutaka tuizingatie...

enhe, mmeafikiana vipi vile kuhusu hizi haki za ndoa za wanawake wa kisasa?

Mkuu haki za wanawake kama zinavyoelezwa hapa ni muhimu sana ila siyo realizable!!

Hata hivyo kwenye mila tumeshatoka ingawa hatujijui tuko wapi na wala tunakotaka kwenda hatupafahamu!!

Ndiyo maana ukija uzi hapa unaoonesha kuwa mwanamume amekuwa weak...wengi tunaungana bila kujali jinsi zetu kumwambia muhusika....Be strong, you a MAN!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...very sad indeed japo haijanizuia kucheka, hahahahaha....dahhh?
mungu aniepushe wazo la kurudia nilikotoka aisee...acha tu niendelee kuchagua mabucha!

...Shauri yako Mkuu...bora utemee mate chini 🙂🙂 bucha nyingine nyama zao huwa ni vigumu sana kusahaulika....safi, laini na ladha yake huwa ni tamu sana...kamwe huwezi kusahau lol!

ndoa za zamani walikuwa hawafahamiani wala kujuana lakini walijifunza kupendana na waliweza kuhimili lolote katika ndoa kwa uvumilivu na upendo wa dhati....za sasa imekuwa kama fasheni mtu anaolewa kuondoa aibu kwenye familia...unaweza kuta msichana anampenda mvulana lakini mvulana sio sana inabidi kuoa kwa huruma fulani vivyo hivyo kwa mvulana anapenda sana bi dada anakubali kwa vile asionekana mbaya au baada kukosa wa kumwoa.... pia wengine wanaoana umri unakwenda bora lolote au jamaa maisha yanalipa. kwa jumla maisha ya ndoa za sasa yanaangalia vitu na sio upendo wa dhati
kina dada leo mnazidi kunikuna hapa.....:eyebrows:
 
...very sad indeed japo haijanizuia kucheka, hahahahaha....dahhh?
mungu aniepushe wazo la kurudia nilikotoka aisee...acha tu niendelee kuchagua mabucha!

If it were meant to be, kaka hata ufanyeje hutashinda...Ndiyo maana napenda vitu organic!!

Hakuna haja ya kutumia excessive force kama FFU wa Tanzania...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu Mbu siku hizi maendeleo yamezidi,enzi zile sheria za kimila zilikuwa na nguvu.
Siku hizi mila haziheshimiwi na zimeshapoteza nguvu kutokana na mfumo wa mahakama na sheria zake.
Enzi zile mwanamke anachapwa na hashitaki na kweli walikuwa wanyonge,pia hata wakionewa hawakuweza
kujitetea,kwanza unakuta alilazimishwa kuolewa na mtu ambaye wazazi wake walimchagulia,
kama alikuwa hana uwezo wa kumkataa ambaye hakumpenda je akionewa ndo ataweza?
siku hizi sheria zimepenya kila pembe,mtu akifanya kosa hapigwi kofi,ukimpiga kofi we ndo mvunjivu wa sheria.
Sasa hivi kuna uhuru,usichokipenda hulazimishwi kupenda.

...umeadimika aisee, kwema?
well,...sasa huu usasa unafaida kweli na ndoa kwenye kizazi hiki na
vinavyokuja, au ndio tutaishia kuzalishana watoto na kuishia na u single parent?

...hii taasisi si inapoteza muelekeo mama/baba anapojiona ana kibri cha kulea mwanawe bila mwenza?

Tunatafakari athari ya jambo hili kwa vizazi vijavyo jamani?
 
...Shauri yako Mkuu...bora utemee mate chini 🙂🙂 bucha nyingine nyama zao huwa ni vigumu sana kusahaulika....safi, laini na ladha yake huwa ni tamu sana...kamwe huwezi kusahau lol!

Una maana bucha nyingine zinauza fillet na veal???

Duu hizo zitakuwa hatari sana!!
 
Zilikuwa mara kumi na sita, na wanaume 13. Cha ajabu, mume wa mwanzo ambaye alilazimishwa na jamaa yake, mara ya mwanzo hawakukaa hata mwaka mmoja wakawachana. Badae akaolewa na waume wengine mara nne, mume wa kwanza akamwoa tena na kuishi pamoja miaka 10, wakawachana: Bibi akaendelea kuolewa tena na tena na tena hadi mara 7, mwisho akaja kuolewa na mume yuleyule wa mwanzo mpaka wakafariki wazee, kwanza bwana badae bibi. Cha ajabu, wakati bibi alikuwa anaolewa, bwana alikuwa anasubiri awachwe aoe tena. Very sad, hawakupata watoto.
Unaweza ukasema haijatokea,ingekuwa siku hizi asingepitia huo mzunguko wote pamoja na haya magonjwa ya leo.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo juu ya ndoa ni hivii Mwanamke wa Kiafrika hajawahi kufurahia ndoa.
Waafrika neno Mke=Mfanyakazi(maid) vijijini
Mke=Tractor la kulima,mashine ya kusaga(kutwanga),mashine ya kutotoa watoto 9-12 na kuendelea,bado kwenda kutafuta kuni,kuchota maji n.k yote hayo ilibidi avumilie eti ili ndoa idumu.

Kwa dunia ya sasa hivi sio rahisi kupata watu wa kuwatesa kama hao.
Ndio maana wanawake wanajitahidi kusoma na kujiweka vizuri kiuchumi ili kujivua gamba la mateso ya jamii ya kiafrika.

tititi....Girls...tititi....We run this modda!...tititi...Girls...tititi...We run this modda...
 
...Shauri yako Mkuu...bora utemee mate chini 🙂🙂 bucha nyingine nyama zao huwa ni vigumu sana kusahaulika....safi, laini na ladha yake huwa ni tamu sana...kamwe huwezi kusahau lol!

Una maanda bucha nyingine zinauza fillet na veal???

Duu hizo zitakuwa hatari sana!!

...huyu BAK anaumaliza mwaka vibaya sasa,..lol...!
kwanza mimi sinunui bana, napewa mnofu nikajaribishe kama utanifaa au la...

ila hiyo ya huyo mzee aliyekuwa anasubiria mke alimuacha aachwe ili amuoe tena duhhh...
kwakweli anastahiki medali ya uvumilivu aisee!....hesabu mke kaolewa mara ngapi bana...
i cannot imagine!

taasisi hii kama unavyozungumza DC, kilichobakia ni kukumbushana "uanaume wetu tu!,"
hizi haki za wanawake kwakweli imefikia wanaume wengine wameamua kuyasamehe kabisa majukumu yao
ya uanaume!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

...umeadimika aisee, kwema?
well,...sasa huu usasa unafaida kweli na ndoa kwenye kizazi hiki na
vinavyokuja, au ndio tutaishia kuzalishana watoto na kuishia na u single parent?

...hii taasisi si inapoteza muelekeo mama/baba anapojiona ana kibri cha kulea mwanawe bila mwenza?

Tunatafakari athari ya jambo hili kwa vizazi vijavyo jamani?

Mbu,

Kuna suala la heshima kwa taasisi ya ndoa. Nadhani hili limechakachuliwa sana hadi watu wanashindwa kuelewa maana yake. Pia watu wanaenda enda tu bila hata kujua haki na wajibu wao wanapoingia kwenye hii biashara!

Kazi iliyopo mbele yetu ni kubwa ila tutafika ingawa majeruhi watakuwa wengi sana!!
 
Hakuna neno Lizzy,

Mie ni miongoni mwa wale ambao hadi sasa sina hakika kama nafahamu maana ya hicho kitu mnaita kupenda. Kwa vile tunasonga mbele, naamini kwamba ama nafanya vizuri au mwenzangu keshanizoea na kukubali mapungufu yangu!!

Tuendelee kupeana shule!!
kweli kutangulia kuliona jua kunachangia kuujua mwanga mapema.
babu DC hayo mazoea wengine ndo huita hiyo love etiiii!
 
...huyu BAK anaumaliza mwaka vibaya sasa,..lol...!
kwanza mimi sinunui bana, napewa mnofu nikajaribishe kama utanifaa au la...

ila hiyo ya huyo mzee aliyekuwa anasubiria mke alimuacha aachwe ili amuoe tena duhhh...
kwakweli anastahiki medali ya uvumilivu aisee!....hesabu mke kaolewa mara ngapi bana...
i cannot imagine!

taasisi hii kama unavyozungumza DC, kilichobakia ni kukumbushana "uanaume wetu tu!,"
hizi haki za wanawake kwakweli imefikia wanaume wengine wameamua kuyasamehe kabisa majukumu yao
ya uanaume
!

To me, that's a technical mistake....

Kama watu wanataka kujua maana yake....waende wakatembelee nchi za Scandnavia.....Nimekaa na wanaume wa nchi kama Denmark wanalia na kusaga meno!!

Nadhani kwamba ni muhimu kwenda nao taratibu ili tuweze kupata balanced cocktail!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa ufahamu wangu mdogo juu ya ndoa ni hivii Mwanamke wa Kiafrika hajawahi kufurahia ndoa.
Waafrika neno Mke=Mfanyakazi(maid) vijijini
Mke=Tractor la kulima,mashine ya kusaga(kutwanga),mashine ya kutotoa watoto 9-12 na kuendelea,bado kwenda kutafuta kuni,kuchota maji n.k yote hayo ilibidi avumilie eti ili ndoa idumu.

Kwa dunia ya sasa hivi sio rahisi kupata watu wa kuwatesa kama hao.
Ndio maana wanawake wanajitahidi kusoma na kujiweka vizuri kiuchumi ili kujivua gamba la mateso ya jamii ya kiafrika.

tititi....Girls...tititi....We run this modda!...tititi...Girls...tititi...We run this modda...

,...eti jamani? ni ya kweli haya?
pamoja na kuziona mila na tamaduni zetu zinafanana na za kishenzi, lakini ndizo zilizowezesha
kuwafikisha wazee wetu salama salmini mpaka karne ya ishirini..

..kasheshe ni sie tunaojiona wa kisasa matokeo yake tunapukutika kwa UKIMWI, na magonjwa mengi ya mlipuko kutokana na presha za nani zaidi ndani ya nyumba!
 
kweli kutangulia kuliona jua kunachangia kuujua mwanga mapema.
babu DC hayo mazoea wengine ndo huita hiyo love etiiii!

Hao vijana wenu wa dot com wanayajua hayo?? Au wao wanamind kumwagiwa misitu ya maua, vocha za kumwaga, simu na sms kila sekunde, ..... na vidume kupewa ngono hadi wavimbiwe??
 
Babu acha tu.........hili neno wengi hatulielewi lakini mie nina ushuhuda wa mdada ambaye ameshakuwa na mahusiano makuu stable mawili) (meaning ndoa ya kwanza, bahati mbaya mume alifariki kwa ajali; amepata mwingine ambaye wanatarajia kufunga ndoa April 2012, kwa sababu tu aliambiwa anapendwa..................meaning yeye anarespond to being approached and loved (kwa kuwa ameapproachiwa/ na kuelezwa kuwa anapendwa) tu. Hakuhusiani na yeye kupenda na bado amekuwa na maisha mazuri sana kimapenzi.
Ukimuuliza anajibu kuwa yeye anampenda anayempenda!!!!
kweli mpende akupendae.:welcome:
 
To me, that's a technical mistake....

Kama watu wanataka kujua maana yake....waende wakatembelee nchi za Scandnavia.....Nimekaa na wanaume wa nchi kama Denmark wanalia na kusaga meno!!

Nadhani kwamba ni muhimu kwenda nao taratibu ili tuweze kupata balanced cocktail!!

...enhe!?....nimevuta na kiti nikusome vizuri. Nini kimewakumba hao wenzetu ambao tradition yao ni pamoja na kufuga ndevu?
 
Back
Top Bottom