Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #141
Sijakupata Mkuu DC naomba ufafanue
lol....mkuu DC usifafanue bana, mjadala huo tutaufanya mwakani inshaallah! hahaha...
tubakie kwenye kuiokoa hii taasisi ya ndoa ibakie kama vitabu vitakatifu, au mila na desturi zilivyotutaka tuizingatie...
enhe, mmeafikiana vipi vile kuhusu hizi haki za ndoa za wanawake wa kisasa?