Sijakupata Mkuu DC naomba ufafanue
Zilikuwa mara kumi na sita, na wanaume 13. Cha ajabu, mume wa mwanzo ambaye alilazimishwa na jamaa yake, mara ya mwanzo hawakukaa hata mwaka mmoja wakawachana. Badae akaolewa na waume wengine mara nne, mume wa kwanza akamwoa tena na kuishi pamoja miaka 10, wakawachana: Bibi akaendelea kuolewa tena na tena na tena hadi mara 7, mwisho akaja kuolewa na mume yuleyule wa mwanzo mpaka wakafariki wazee, kwanza bwana badae bibi. Cha ajabu, wakati bibi alikuwa anaolewa, bwana alikuwa anasubiri awachwe aoe tena. Very sad, hawakupata watoto.
Zilikuwa mara kumi na sita, na wanaume 13. Cha ajabu, mume wa mwanzo ambaye alilazimishwa na jamaa yake, mara ya mwanzo hawakukaa hata mwaka mmoja wakawachana. Badae akaolewa na waume wengine mara nne, mume wa kwanza akamwoa tena na kuishi pamoja miaka 10, wakawachana: Bibi akaendelea kuolewa tena na tena na tena hadi mara 7, mwisho akaja kuolewa na mume yuleyule wa mwanzo mpaka wakafariki wazee, kwanza bwana badae bibi. Cha ajabu, wakati bibi alikuwa anaolewa, bwana alikuwa anasubiri awachwe aoe tena. Very sad, hawakupata watoto.
lol....mkuu DC usifafanue bana, mjadala huo tutaufanya mwakani inshaallah! hahaha...
tubakie kwenye kuiokoa hii taasisi ya ndoa ibakie kama vitabu vitakatifu, au mila na desturi zilivyotutaka tuizingatie...
enhe, mmeafikiana vipi vile kuhusu hizi haki za ndoa za wanawake wa kisasa?
...very sad indeed japo haijanizuia kucheka, hahahahaha....dahhh?
mungu aniepushe wazo la kurudia nilikotoka aisee...acha tu niendelee kuchagua mabucha!
kina dada leo mnazidi kunikuna hapa.....:eyebrows:ndoa za zamani walikuwa hawafahamiani wala kujuana lakini walijifunza kupendana na waliweza kuhimili lolote katika ndoa kwa uvumilivu na upendo wa dhati....za sasa imekuwa kama fasheni mtu anaolewa kuondoa aibu kwenye familia...unaweza kuta msichana anampenda mvulana lakini mvulana sio sana inabidi kuoa kwa huruma fulani vivyo hivyo kwa mvulana anapenda sana bi dada anakubali kwa vile asionekana mbaya au baada kukosa wa kumwoa.... pia wengine wanaoana umri unakwenda bora lolote au jamaa maisha yanalipa. kwa jumla maisha ya ndoa za sasa yanaangalia vitu na sio upendo wa dhati
...very sad indeed japo haijanizuia kucheka, hahahahaha....dahhh?
mungu aniepushe wazo la kurudia nilikotoka aisee...acha tu niendelee kuchagua mabucha!
Mkuu Mbu siku hizi maendeleo yamezidi,enzi zile sheria za kimila zilikuwa na nguvu.
Siku hizi mila haziheshimiwi na zimeshapoteza nguvu kutokana na mfumo wa mahakama na sheria zake.
Enzi zile mwanamke anachapwa na hashitaki na kweli walikuwa wanyonge,pia hata wakionewa hawakuweza
kujitetea,kwanza unakuta alilazimishwa kuolewa na mtu ambaye wazazi wake walimchagulia,
kama alikuwa hana uwezo wa kumkataa ambaye hakumpenda je akionewa ndo ataweza?
siku hizi sheria zimepenya kila pembe,mtu akifanya kosa hapigwi kofi,ukimpiga kofi we ndo mvunjivu wa sheria.
Sasa hivi kuna uhuru,usichokipenda hulazimishwi kupenda.
...Shauri yako Mkuu...bora utemee mate chini 🙂🙂 bucha nyingine nyama zao huwa ni vigumu sana kusahaulika....safi, laini na ladha yake huwa ni tamu sana...kamwe huwezi kusahau lol!
Unaweza ukasema haijatokea,ingekuwa siku hizi asingepitia huo mzunguko wote pamoja na haya magonjwa ya leo.Zilikuwa mara kumi na sita, na wanaume 13. Cha ajabu, mume wa mwanzo ambaye alilazimishwa na jamaa yake, mara ya mwanzo hawakukaa hata mwaka mmoja wakawachana. Badae akaolewa na waume wengine mara nne, mume wa kwanza akamwoa tena na kuishi pamoja miaka 10, wakawachana: Bibi akaendelea kuolewa tena na tena na tena hadi mara 7, mwisho akaja kuolewa na mume yuleyule wa mwanzo mpaka wakafariki wazee, kwanza bwana badae bibi. Cha ajabu, wakati bibi alikuwa anaolewa, bwana alikuwa anasubiri awachwe aoe tena. Very sad, hawakupata watoto.
...Shauri yako Mkuu...bora utemee mate chini 🙂🙂 bucha nyingine nyama zao huwa ni vigumu sana kusahaulika....safi, laini na ladha yake huwa ni tamu sana...kamwe huwezi kusahau lol!
Una maanda bucha nyingine zinauza fillet na veal???
Duu hizo zitakuwa hatari sana!!
...umeadimika aisee, kwema?
well,...sasa huu usasa unafaida kweli na ndoa kwenye kizazi hiki na
vinavyokuja, au ndio tutaishia kuzalishana watoto na kuishia na u single parent?
...hii taasisi si inapoteza muelekeo mama/baba anapojiona ana kibri cha kulea mwanawe bila mwenza?
Tunatafakari athari ya jambo hili kwa vizazi vijavyo jamani?
kweli kutangulia kuliona jua kunachangia kuujua mwanga mapema.Hakuna neno Lizzy,
Mie ni miongoni mwa wale ambao hadi sasa sina hakika kama nafahamu maana ya hicho kitu mnaita kupenda. Kwa vile tunasonga mbele, naamini kwamba ama nafanya vizuri au mwenzangu keshanizoea na kukubali mapungufu yangu!!
Tuendelee kupeana shule!!
...huyu BAK anaumaliza mwaka vibaya sasa,..lol...!
kwanza mimi sinunui bana, napewa mnofu nikajaribishe kama utanifaa au la...
ila hiyo ya huyo mzee aliyekuwa anasubiria mke alimuacha aachwe ili amuoe tena duhhh...
kwakweli anastahiki medali ya uvumilivu aisee!....hesabu mke kaolewa mara ngapi bana...
i cannot imagine!
taasisi hii kama unavyozungumza DC, kilichobakia ni kukumbushana "uanaume wetu tu!,"
hizi haki za wanawake kwakweli imefikia wanaume wengine wameamua kuyasamehe kabisa majukumu yao
ya uanaume!
Kwa ufahamu wangu mdogo juu ya ndoa ni hivii Mwanamke wa Kiafrika hajawahi kufurahia ndoa.
Waafrika neno Mke=Mfanyakazi(maid) vijijini
Mke=Tractor la kulima,mashine ya kusaga(kutwanga),mashine ya kutotoa watoto 9-12 na kuendelea,bado kwenda kutafuta kuni,kuchota maji n.k yote hayo ilibidi avumilie eti ili ndoa idumu.
Kwa dunia ya sasa hivi sio rahisi kupata watu wa kuwatesa kama hao.
Ndio maana wanawake wanajitahidi kusoma na kujiweka vizuri kiuchumi ili kujivua gamba la mateso ya jamii ya kiafrika.
tititi....Girls...tititi....We run this modda!...tititi...Girls...tititi...We run this modda...
kweli kutangulia kuliona jua kunachangia kuujua mwanga mapema.
babu DC hayo mazoea wengine ndo huita hiyo love etiiii!
kweli mpende akupendae.:welcome:Babu acha tu.........hili neno wengi hatulielewi lakini mie nina ushuhuda wa mdada ambaye ameshakuwa na mahusiano makuu stable mawili) (meaning ndoa ya kwanza, bahati mbaya mume alifariki kwa ajali; amepata mwingine ambaye wanatarajia kufunga ndoa April 2012, kwa sababu tu aliambiwa anapendwa..................meaning yeye anarespond to being approached and loved (kwa kuwa ameapproachiwa/ na kuelezwa kuwa anapendwa) tu. Hakuhusiani na yeye kupenda na bado amekuwa na maisha mazuri sana kimapenzi.
Ukimuuliza anajibu kuwa yeye anampenda anayempenda!!!!
To me, that's a technical mistake....
Kama watu wanataka kujua maana yake....waende wakatembelee nchi za Scandnavia.....Nimekaa na wanaume wa nchi kama Denmark wanalia na kusaga meno!!
Nadhani kwamba ni muhimu kwenda nao taratibu ili tuweze kupata balanced cocktail!!