antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mchepuko asikutishe katoto kazuri , mumeo anakupenda wewe tu. Mchepuko anatumika kwa muda tu kukata kiuUnajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko asikutishe katoto kazuri , mumeo anakupenda wewe tu. Mchepuko anatumika kwa muda tu kukata kiuUnajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Ndio unavyojidanganya ? 😀Cha msingi mshtue kuwa umejua..na umwambie je ingekua mm umenibamba angefanyaje...la msingi hakikisha amejua umejua...huo ni mwanzo mzuri mengine solve pole pole..mwanaume akikupenda atafanya mauza uza yake kwa kificho kikubwa baada ya kujua tukio la kwanza..hataki kuchafua cv kwa mara ya pili
Namuacha nikae pekee yangu i have enough of him jamani hata kama anadroo za pesa hapana . Kama jana nimemuambia naomba talaka yangu nikamwambia ukweli nikampa karatasi kutoka mahakamani yakutalakiana akasign na akasema upo na mdogo mwenzio hayaa . Nimeenda kwetu jana jana nikapumzike ila kaenda ustawi wajamii anataka watoto . Kesi kama kesi imeanza sasa ananitaka atanipata .observing her mental health,dress well, eat well,afanye mazoezi na kusali
UkIONDOKA hakikisha huendi kua mchepuko wa mwanaume mwingine mwenye familia,Namuacha nikae pekee yangu i have enough of him jamani hata kama anadroo za pesa hapana . Kama jana nimemuambia naomba talaka yangu nikamwambia ukweli nikampa karatasi kutoka mahakamani yakutalakiana akasign na akasema upo na mdogo mwenzio hayaa . Nimeenda kwetu jana jana nikapumzike ila kaenda ustawi wajamii anataka watoto . Kesi kama kesi imeanza sasa ananitaka atanipata .
Maana hata yule mwenye mke amemtalaki mkewe mara baada yakumsikia yupo na x wangu, hiyo ilikuwa nyuma ni kama wiki 3 zilizopita .
Maisha haya yanahitaji moyo.
Napicha zake chafu nilimtumia moja nikamwambia futa kesi akaahidi sawa ila haijafutwa nakesho kutwa napeleka hizo picha chafu ustawi wajamii wananiambie kama huyo ataweza ishi nawatoto na waza sana namawazo
Tumeachana ila sihitaji ndoa wala mpenzi nawaza watoto tu. Maishani mwanguMchepuko asikutishe katoto kazuri , mumeo anakupenda wewe tu. Mchepuko anatumika kwa muda tu kukata kiu
Nimeshazeeka sana nawaza watoto myILIONDOKA hakikisha huendi kua mchepuko wa mwanaume mwingine mwenye familia,
Mungu akusaidie
HUyo mwanamke ndio kamfukuzia mume wangu wa awali wake wawili moe wa tatu hawaachani hata umpe niniMpaka mwanaume anafikia kuwa na mchepuko Kuna maeneo uko dhaifu san
Haya mie ni unique flower nimemtalakia mume wangu nasasa sipo single naleaWewe Unique Flower ulishasema umeacha Jf kwamba utakua busy kulea ndoa, nini kimekusibu?
Hakika lakini 👉 kusali Hili ndo hitaji la kwanza la kujipenda then hayo mengine ndo yafuateobserving her mental health,dress well, eat well,afanye mazoezi na kusali
15 years in marriage with 4 good kids bro, unaswali jingine?Umeolewa ?
Mbona sijaelewa Huna cha kunfanya?Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
My dear,nyie bado ni wazazi na katika ndoa yenu kuna mazuri na mabayaNamuacha nikae pekee yangu i have enough of him jamani hata kama anadroo za pesa hapana . Kama jana nimemuambia naomba talaka yangu nikamwambia ukweli nikampa karatasi kutoka mahakamani yakutalakiana akasign na akasema upo na mdogo mwenzio hayaa . Nimeenda kwetu jana jana nikapumzike ila kaenda ustawi wajamii anataka watoto . Kesi kama kesi imeanza sasa ananitaka atanipata .
Maana hata yule mwenye mke amemtalaki mkewe mara baada yakumsikia yupo na x wangu, hiyo ilikuwa nyuma ni kama wiki 3 zilizopita .
Maisha haya yanahitaji moyo.
Napicha zake chafu nilimtumia moja nikamwambia futa kesi akaahidi sawa ila haijafutwa nakesho kutwa napeleka hizo picha chafu ustawi wajamii wananiambie kama huyo ataweza ishi nawatoto na waza sana namawazo
Pole sana, siku ukichoka hayo utafanya maamuzi sahihi note. Tunaishi mara moja wewe ni Bora kuliko mwingine... Super!!Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Hujawahi kusikia hichi kimethali cha kiswahili 👉 ng'ombe hazeeki maini 😁Nimeshazeeka sana nawaza watoto my
Malaki 2:16Namuacha nikae pekee yangu i have enough of him jamani hata kama anadroo za pesa hapana . Kama jana nimemuambia naomba talaka yangu nikamwambia ukweli nikampa karatasi kutoka mahakamani yakutalakiana akasign na akasema upo na mdogo mwenzio hayaa . Nimeenda kwetu jana jana nikapumzike ila kaenda ustawi wajamii anataka watoto . Kesi kama kesi imeanza sasa ananitaka atanipata .
Maana hata yule mwenye mke amemtalaki mkewe mara baada yakumsikia yupo na x wangu, hiyo ilikuwa nyuma ni kama wiki 3 zilizopita .
Maisha haya yanahitaji moyo.
Napicha zake chafu nilimtumia moja nikamwambia futa kesi akaahidi sawa ila haijafutwa nakesho kutwa napeleka hizo picha chafu ustawi wajamii wananiambie kama huyo ataweza ishi nawatoto na waza sana namawazo
Watalelewa na bibi na kweli nimemuheshimu nikaondoka kwa amani ila huyu mtu haoni kama anaheshimiwa eti ananipeleka na hawara yake yaani hawara yake yupo naye ustawi wa jamii wakitaka watoto wangu hadi hawa mapacha wadogo .My dear,nyie bado ni wazazi na katika ndoa yenu kuna mazuri na mabaya
Jifunze kuona mazuri kuliko mabaya, tafuteni namna bora ya kuachana na kukubaliana namna ya kulea watoto na sio mashindano
Picha za uchi wont help you anything, you are better than that, kama kweli umemuucha kwa moyo mweupe usionyeshe kinyongo na mashindano
Jipeni muda wa kutafakari na kushusha hasira then mkae mzungumze kuhusu watoto nyakati ambazo kila mmoja hasira na mihemko imeshuka