Ndoa zenu zipoje?

Ndoa zenu zipoje?

Basi kuwa mtulivu
Ndio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .
 
Polesana inaumiza lakini unahaki ya kushindwa
Watu wanakuonyesha wewe ni mtu baki kila daily valentine ya mwaka huu wmekula wote kiakili nani hajaona kila kitu kanunu sare sare sio maua nasio vitu vingine . Napia alikuwa anatoka toka chumbani. Mwanamke wake yupo jf humu
 
Ndio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .
Kama umechagua kuondoka ni kheri
Mungu akutangulie
 
Kama umeamua mind you business, usifwatilie maisha yao songa mbele usiruhusu raia yeyote asikupunguzie mwendo
 
Kama umechagua kuondoka ni kheri
Mungu akutangulie
Yaani huyu aliyekuwa wangu anatembea na mke wa kaka yake na ndio mchepuko basi kaka yake kammwabia kuwa atanioa anioe talaka mume wangi akatoa talaka kuliko amuache mke wakaka yake . Nimeamua tu anioe nisizeeke mwenyewe nawao waoane itakuwa poa
 
[emoji16][emoji16]

Hii nimeipenda. Mnabadirishana kama Israeli na Hamas wanavo badirishana mateka huku wame cease fire
 
Ndio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .
Ndoa ni utapeli
KATAA NDOA enjoy your life
 
Back
Top Bottom