Ndoa zenu zipoje?

Ndio unavyojidanganya ? 😀

Zinazo badilika ni mbinu tu ila michepuko watu huendelea nayo tena wengine na kuzalisha juu watoto wa nje.

Michepuko ni kama madawa ya kulevya sio rahisi kuacha ni mbinu tu ndio zina badilika.
 
observing her mental health,dress well, eat well,afanye mazoezi na kusali
Namuacha nikae pekee yangu i have enough of him jamani hata kama anadroo za pesa hapana . Kama jana nimemuambia naomba talaka yangu nikamwambia ukweli nikampa karatasi kutoka mahakamani yakutalakiana akasign na akasema upo na mdogo mwenzio hayaa . Nimeenda kwetu jana jana nikapumzike ila kaenda ustawi wajamii anataka watoto . Kesi kama kesi imeanza sasa ananitaka atanipata .

Maana hata yule mwenye mke amemtalaki mkewe mara baada yakumsikia yupo na x wangu, hiyo ilikuwa nyuma ni kama wiki 3 zilizopita .
Maisha haya yanahitaji moyo.

Napicha zake chafu nilimtumia moja nikamwambia futa kesi akaahidi sawa ila haijafutwa nakesho kutwa napeleka hizo picha chafu ustawi wajamii wananiambie kama huyo ataweza ishi nawatoto na waza sana namawazo
 
UkIONDOKA hakikisha huendi kua mchepuko wa mwanaume mwingine mwenye familia,

Mungu akusaidie
 
Pole Sana mpendwa hakika inaumiza Sana,kaeni chini myajenge Kama anakupenda hatorudia Tena kufanya hivyo!
 
observing her mental health,dress well, eat well,afanye mazoezi na kusali
Hakika lakini 👉 kusali Hili ndo hitaji la kwanza la kujipenda then hayo mengine ndo yafuate

👉na njia pekee ya kutunza afya ya AKILI Zetu ni kwa kusali katika Roho pekee ake

👉 kusali ndo msingi imara wa kujenga MAISHA yetu ya sasa na ya baada ya kuludi mavumbini😁

Wafilipi

4.6 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
 
My dear,nyie bado ni wazazi na katika ndoa yenu kuna mazuri na mabaya

Jifunze kuona mazuri kuliko mabaya, tafuteni namna bora ya kuachana na kukubaliana namna ya kulea watoto na sio mashindano

Picha za uchi wont help you anything, you are better than that, kama kweli umemuucha kwa moyo mweupe usionyeshe kinyongo na mashindano

Jipeni muda wa kutafakari na kushusha hasira then mkae mzungumze kuhusu watoto nyakati ambazo kila mmoja hasira na mihemko imeshuka
 
Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Pole sana, siku ukichoka hayo utafanya maamuzi sahihi note. Tunaishi mara moja wewe ni Bora kuliko mwingine... Super!!
 
Malaki 2:16

"Maana mimi nakuchukia kuachana, asema Bwana, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema Bwana wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana"

nakuchukia kuachana📌
 
Watalelewa na bibi na kweli nimemuheshimu nikaondoka kwa amani ila huyu mtu haoni kama anaheshimiwa eti ananipeleka na hawara yake yaani hawara yake yupo naye ustawi wa jamii wakitaka watoto wangu hadi hawa mapacha wadogo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…