katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #81
Ndio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .Basi kuwa mtulivu
Watu wanakuonyesha wewe ni mtu baki kila daily valentine ya mwaka huu wmekula wote kiakili nani hajaona kila kitu kanunu sare sare sio maua nasio vitu vingine . Napia alikuwa anatoka toka chumbani. Mwanamke wake yupo jf humuPolesana inaumiza lakini unahaki ya kushindwa
Sitaji tena nataka nilale nakuamka tu . BasiVijana wapo wengi mno wanasaka mashangazi ni wewe tu
Duuh hutaki kuchakatwa sio?Sitaji tena nataka nilale nakuamka tu . Basi
Kama umechagua kuondoka ni kheriNdio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .
Kama umeamua mind you business, usifwatilie maisha yao songa mbele usiruhusu raia yeyote asikupunguzie mwendoNdio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .
Yaani huyu aliyekuwa wangu anatembea na mke wa kaka yake na ndio mchepuko basi kaka yake kammwabia kuwa atanioa anioe talaka mume wangi akatoa talaka kuliko amuache mke wakaka yake . Nimeamua tu anioe nisizeeke mwenyewe nawao waoane itakuwa poaKama umechagua kuondoka ni kheri
Mungu akutangulie
[emoji16][emoji16]Yaani huyu aliyekuwa wangu anatembea na mke wa kaka yake na ndio mchepuko basi kaka yake kammwabia kuwa atanioa anioe talaka mume wangi akatoa talaka kuliko amuache mke wakaka yake . Nimeamua tu anioe nisizeeke mwenyewe nawao waoane itakuwa poa
Ndoa ni utapeliNdio nimempa amuoe mie siye mke wake tena ila wanahaha sana wanadai naweza kuolewa na mume wake na huyu baba ni kaka yake . Sasa ninaona sawa tu nikiolewa naye maana maisha yangu ni kumtunzia bwana .