Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula kwamba anataka awaepushie kifo kwasababu anawapenda bali ni kwa sababu MUNGU anawabania msiwe kama yeye! Ila baada ya kula ndipo walipojua sheria waliyopewa ilikuwa ni ya upendo na sio ya kuwabania kama nyoka (shetani) alivyodai.
Hata leo hii, kwa upande wa mabinti, wanadhani wanapokatazwa kuanza ngono mpaka waolewe wanadhani wanabaniwa! Hujiingiza kwenye ngono, na hatimaye wakifikia kuolewa huwa hawana jipya tena!
Heshima ya kwanza walishampa mwanaume mwingine na pengine walijiburuza mpaka kifaa chenyewe cha uzazi kimekuwa kikuukuu, mtu yeyote akiingia humo anajua hakina heshima yoyote.
Kisaikolojia hata kama watu watakataa midomoni, nafsi huwa zinasimama kwenye ukweli tu, sisi wanaume tutamvalue mwanamke kulingana na pale mahala tunavyopakuta, tunapenda ku- customize, kama kifaa ni mdabwada hata wajirembe vipi kwa nje haiwezi kucomplement hata kidogo.
Ndani ya nafsi mtu atamchukulia mkewe poa poa tu na sio serious kama vile alivyoahidi mbele ya mashuhuda. Hapa ndipo udhaifu wa marriege bond unapoanza, kwani kwa mtu ambae hana restriction zingine labda mfano imani kali za kidini, basi atafanya ishu zake chini chini ili kuifurahisha nafsi yake.
Wanawake ndio chanzo kikubwa cha kudhoofisha ndoa, kwa kutuletea MIDABWADA ndani ya ndoa. Wanahangaika sana kututamanisha kwa urembo wa nje ambao unabakia lakini urembo wa ndani ambao ndio tunaouhitaji hatuukuti! Ni sawa na kusikia halufu nzuri ya chakula kinachopendeza hata machoni na kutamanisha lakini ukikila hakiliki kwa sababu kimezidishwa chumvi sana.
Mwanamke akiwa vizuri mwanaume atampenda sana na mwanamke kwa kuwa anatafuta kupendwa atazidi kuwana adabu na ndoa itadumukwani mwanaume nae anatafuta adabu, hivyo nae atazidisha kumpenda zaidi.
SIRI YA NDOA SIO TU KUPENDANA TABIA NA MAUMBILE, LAZIMA PIA MWISHO WA SIKU ISIWE ISHU YENYEWE NI MDABWADA.