Ndoa zinayumba sababu mabinti wengi wana tabia hizi...

Ndoa zinayumba sababu mabinti wengi wana tabia hizi...

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
792
Reaction score
1,015
Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula kwamba anataka awaepushie kifo kwasababu anawapenda bali ni kwa sababu MUNGU anawabania msiwe kama yeye! Ila baada ya kula ndipo walipojua sheria waliyopewa ilikuwa ni ya upendo na sio ya kuwabania kama nyoka (shetani) alivyodai.

Hata leo hii, kwa upande wa mabinti, wanadhani wanapokatazwa kuanza ngono mpaka waolewe wanadhani wanabaniwa! Hujiingiza kwenye ngono, na hatimaye wakifikia kuolewa huwa hawana jipya tena!

Heshima ya kwanza walishampa mwanaume mwingine na pengine walijiburuza mpaka kifaa chenyewe cha uzazi kimekuwa kikuukuu, mtu yeyote akiingia humo anajua hakina heshima yoyote.

Kisaikolojia hata kama watu watakataa midomoni, nafsi huwa zinasimama kwenye ukweli tu, sisi wanaume tutamvalue mwanamke kulingana na pale mahala tunavyopakuta, tunapenda ku- customize, kama kifaa ni mdabwada hata wajirembe vipi kwa nje haiwezi kucomplement hata kidogo.

Ndani ya nafsi mtu atamchukulia mkewe poa poa tu na sio serious kama vile alivyoahidi mbele ya mashuhuda. Hapa ndipo udhaifu wa marriege bond unapoanza, kwani kwa mtu ambae hana restriction zingine labda mfano imani kali za kidini, basi atafanya ishu zake chini chini ili kuifurahisha nafsi yake.

Wanawake ndio chanzo kikubwa cha kudhoofisha ndoa, kwa kutuletea MIDABWADA ndani ya ndoa. Wanahangaika sana kututamanisha kwa urembo wa nje ambao unabakia lakini urembo wa ndani ambao ndio tunaouhitaji hatuukuti! Ni sawa na kusikia halufu nzuri ya chakula kinachopendeza hata machoni na kutamanisha lakini ukikila hakiliki kwa sababu kimezidishwa chumvi sana.

Mwanamke akiwa vizuri mwanaume atampenda sana na mwanamke kwa kuwa anatafuta kupendwa atazidi kuwana adabu na ndoa itadumukwani mwanaume nae anatafuta adabu, hivyo nae atazidisha kumpenda zaidi.

SIRI YA NDOA SIO TU KUPENDANA TABIA NA MAUMBILE, LAZIMA PIA MWISHO WA SIKU ISIWE ISHU YENYEWE NI MDABWADA.
 
Bora uwaambie mkuu,
Swala la ndoa sasa ni janga kubwa sana kwenye jamii tena hii inasababishwa na tamaa ya pesa,hadhi ya kuwa mtu fulani

Mfano asilimia kubwa ya wanaume wetawaliwa na tamaa za mwili

Tena asilimia kubwa ya wanawake wengi wa kisasa wametawaliwa na tamaa ya kuwa na maisha bora

Matokeo yake yapo hivi wanamke wengi wanaanguka kwenye mikono ya wanaume ambao wapo kusafisha rungu tu halafu wanasepa

Kuna hizi kauli

Anahela?
Ni handsome?
Anafanya kazi gani?

Ukibahatisha bikira ya miaka kuanzia 25 sasa hivi utakuwa man of the century walahi

Takataka takataka takataka
 
Maelekezo yalisema tuoane tuzae tukaujaze Ulimwengu ila kwa sasa hata bila kuoa mtu unaweza kuzaa na kuujaza Ulimwengu sasa nioe ya nini?
 
Swala la ndoa sasa ni janga kubwa sana kwenye jamii tena hii inasababishwa na tamaa ya pesa,hadhi ya kuwa mtu fulani

Mfano asilimia kubwa ya wanaume wetawaliwa na tamaa za mwi...
Tukubaliane:: Mwanamke BIKIRA ana heshima isiyo na kifani kwa mume wake!! Ana thamani kubwa sana!! Tatizo wasichana leo wanafukuzia kufukuliwa hadi aibu!!

Sasa mwanamke unatebmea na skin tight ramani yote ya afrika ya kusini unaiacha hadharani kama siyo kutafuta kufukuliwa ni nini?

Mnajidhalilisha sana!! Kwa kweli hatuwaheshimu hata kidogo!! Anayewafuata ana matumizi ya dharula tu kama kwenda wash room!! Samahani kwa maneno makali maana hakuna namna nyingine!!
 
Ila tuangalie na upande wa pili wa shilingi: Wanaume huwa wanaingia kwenye ndoa wakiwa "bikira wa kiume"? Sasa wewe kama ulifukuwa ridhika tu na huyo uliyemkuta amefukuliwa!
 
Kuna mijitu mijinga sana kama hili jamaa @mods anzisheni test ya kujiunga JF otherwise JF itakufa kabisa
Kwani na we umeokota midabwada au?😂😂😂😂
 
Ndoa ni muunganiko wa mambo kadhaa yanayobalance kati ya couples. Hata ukioa bikra afu akawa hana utii, mvivu au mgomvi hakutakuwa na ndoa hapo. Pia unaweza oa ambaye sio bikra but akawa mchapa kazi, heshima n.k. So no generalization at all
 
Sasa tufanyeje?: Jibu ni rahisi TUTUBU!! Kutubu ni kuacha, ni kukoma kufanya jambo ambalo umegundua ni dhambi na unamkosea Mungu!!

Toba yetu ya dhati itawaokoa watoto na mabinti zetu, na maonyo yetu kwa watoto na binti zetu yatakuwa ya nguvu!! Sasa utakuta baba au mama ana watoto walio na umri wa kuelewa na wanajua mama au baba ana mchepuko? Huyo baba au mama maneno yake ya kumkanya mtoto hayana nguvu kabisa!

Nakumbuka kulikuwa na mama mmoja (single parent) alikuwa na kabinti ka miaka kama 12 hivi. Mama analeta wanaume mbali mbali pale nyumbani kwa zamu!

Halafu kale kabinti ndio kanajiongeza kumstiri mama yake, kakiona mwanamume mwingine anakuja wakati kuna mwingine ndani, kanamwahi mapema huko huko nje kanamwambia "mama hayupo". Sasa mtoto huyo anaweza kukemewa na mama yake kweli?

Tutubu! na tumkaribishe Yesu katika maisha yetu awe Bwana na mwokozi wetu!! Kama tuliharibu huko nyuma basi tusiendelee kuharibu na tulee kizazi kijacho kiwe na adabu na maisha ya kujiheshimu na kumpenda Mungu>
 
Tukubaliane:: Mwanamke BIKIRA ana heshima isiyo na kifani kwa mume wake!! Ana thamani kubwa sana!! Tatizo wasichana leo wanafukuzia kufukuliwa hadi aibu!!

Sasa mwanamke unatebmea na skin tight ramani yote ya afrika ya kusini unaiacha hadharani kama siyo kutafuta kufukuliwa ni nini?

Mnajidhalilisha sana!! Kwa kweli hatuwaheshimu hata kidogo!! Anayewafuata ana matumizi ya dharula tu kama kwenda wash room!! Samahani kwa maneno makali maana hakuna namna nyingine!!
Salute !
 
Back
Top Bottom