AJ amalizane kwanza na Andy Ruiz 'Chibonge' kabla ya kumfikiria tena Wilder, akipigwa tena ndo kwisha habari yake
Uongo[emoji1][emoji1]
Luis ashakalishwa
Ova
Naomba kujua dstv ni channel gani nani mda gani?
Naomba kujua dstv ni channel gani nani mda gani?
Game dado kabisaLuis ashakalishwa
Ova
Aseee katibu? Ni dstv yangu tu ndo inazingua au hata huko kwako?
205 dstv. Saa moja na nusu asubuhiNaomba kujua dstv ni channel gani nani mda gani?
Bado halijaanzaUpdates kwa anayeangalia, mi nilikuwa nategemea cable kumbe hawaonyeshi
Updates kwa anayeangalia, mi nilikuwa nategemea cable kumbe hawaonyeshi
Nini kinaendelea huko wakuu?