kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
πYanga yenyewe kwenye logo Yao Kuna bondia
YANGA BINGWA!Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.
Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.
Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.
Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?
Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
Wanafanya wachezaji wa timu ndogo ndogo kwny Rank za CAF hazisomeki..zinazoishia makundi...muda wanao wa kutoshaWalicho kifanya kina utafouti gani na wachezaji wanapo enda kucheza mechi za hisani kipindi cha pre season? au ndio una dhihilisha u mbumbumbu wako?
NB; huwezi kufanya hayo kama timu yako haina makombe
ππ rafiki umewaza mbali sana.Yanga yenyewe kwenye logo Yao Kuna bondia
Mi mwenyewe nilibakia nimeduwaa mana nilijua lengo lao ni kuhamasisha pia. Hee nikaona makonde mwanzo mwisho.Nilivyoona ile mikwala na vijembe mawazo yakanituma kuwa Walikuwa na Lengo la kuhamasisha...heee kumbe wanavurumishiana mikonde kweli.
Siku ingine wafanyiwe Ushauri nasaha.
Hahahaha, Rafiki upo? Miaka nasoma nilikua na ndugu yangu alikua bondia wa Yanga,yeye na George Sabuni ,mazoezi pale pale jangwani ambako sasa hv ni dukaππ rafiki umewaza mbali sana.