Ndondi: NKANE v/s KIBWANA - Mapungufu mengine kitengo cha Saikolojia Yanga

Ndondi: NKANE v/s KIBWANA - Mapungufu mengine kitengo cha Saikolojia Yanga

Kwa kweeli sababu unaweza tumia nguvu nyingi halafu hata asikuelewe

Hahahaaa. Rafiki naona umeamua unisindikize na dongo. Lol
Hahahaha,Rafiki nisamehe sana,ila nasikia hela ya tofali Iko itajenga uwanja
 
Siku mkiwapiganisha akina Pacome vs Nzengeli hiyo kweli itajulikana ni biashara. Ila hao vilaza wa bongo utakuta wameambulia laki moja moja zingine wamechukua viongozi wa uto.
Mtanzania hajawahi kumkubali Mtanzania mwenzake.
 
Back
Top Bottom