Ndondi: NKANE v/s KIBWANA - Mapungufu mengine kitengo cha Saikolojia Yanga

Mi mwenyewe nilibakia nimeduwaa mana nilijua lengo lao ni kuhamasisha pia. Hee nikaona makonde mwanzo mwisho.

Na bahati walivyorusha ile taulo mana ambacho kingefuata pale ilikuwa ni ngumi za ukweli ukweli.
Japo kapichaa jamaniii
 
Ndondi zenyewe walizozichapa ni kama za kitaa tu, tena hata hizo za kitaa zina nafuu. Wao wamepigana mithili ya bata au ngumi za Kidawa na Shufaa. Hakukuwa na ngumi za kiume pale.
 
Wabongo bhana watu walikua boxer wakaamua kucheza mpira kwa kuwa ni fursa kwao wao wameamua kupata pesa kupitia ngumi wacha wachukue sisi ambao tuna kipaji kimoja tuache kulalamika ikitokea wanataka marathoni waende tu ndio life hiyo kesho wakisema watachezea timu moja ya Basketball kwenye mechi ya ufunguzi wacha wakacheze..
 
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.

Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.

Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.

Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.

Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?

Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
HAkuna nlbeef pale.

Ile ni biashara watu wamelipwa wafanye burudani.

Fanya kazi, acha makasiriko ya kitaahira taahira.
 
Ndondi zenyewe walizozichapa ni kama za kitaa tu, tena hata hizo za kitaa zina nafuu. Wao wamepigana mithili ya bata au ngumi za Kidawa na Shufaa. Hakukuwa na ngumi za kiume pale.
Wale siyo mabondia.

Walicheza kama bonanza tu. Sasa ulitegemea mtu ambaye siyo bondia azichape kama Mwakinyo?

Mbona wabongo mmekuwa mataahira hivi??
 
Shida ni kwamba kadri pambano lilivyokuwa linasonga mbele walizidi kujaa sumu na kuzipiga kiukweli kweli.
 
Mizimu ilimtosa kiti wao. 😆😂
 
Attachments

  • 1753610221218.jpg
    1753610221218.jpg
    317.4 KB · Views: 20
Hahahaha,aisee mie mtu akiwa mjinga namuacha na maujinga yake

Pale Yanga kulikua na
Boxing
Netball na
Football
Kwa kweeli sababu unaweza tumia nguvu nyingi halafu hata asikuelewe
Tuliocheza jangwani Yanga B / Kids,tunashangaa Leo hii hakuna uwanja Kuna parking ya magari
Hahahaaa. Rafiki naona umeamua unisindikize na dongo. Lol
 
Mi mwenyewe nilibakia nimeduwaa mana nilijua lengo lao ni kuhamasisha pia. Hee nikaona makonde mwanzo mwisho.

Na bahati walivyorusha ile taulo mana ambacho kingefuata pale ilikuwa ni ngumi za ukweli ukweli.
Vile vitu vipo scripted ni kama wrestling
 
HAkuna nlbeef pale.

Ile ni biashara watu wamelipwa wafanye burudani.

Fanya kazi, acha makasiriko ya kitaahira taahira.
Siku mkiwapiganisha akina Pacome vs Nzengeli hiyo kweli itajulikana ni biashara. Ila hao vilaza wa bongo utakuta wameambulia laki moja moja zingine wamechukua viongozi wa uto.
 
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.

Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.

Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.

Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.

Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?

Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
Inaitwa Dar es Salaam Young Africans Sports Club na siyo Football Club.
 
Siku mkiwapiganisha akina Pacome vs Nzengeli hiyo kweli itajulikana ni biashara. Ila hao vilaza wa bongo utakuta wameambulia laki moja moja zingine wamechukua viongozi wa uto.
Juha kweli.

Wale wamepiganishwa na timu au ni bonanza tu, lao binafsi la mwisho wa msimu??
 
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.

Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.

Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.

Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.

Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?

Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
Una mtindio wa ubongo?
 
Tangu lini ili timu ikawa na akili? rais lao lilivyo na roho mbaya katili lisomali litakua lilikua likifurahia wanavyochapana makonde...
 
Back
Top Bottom