Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Japo kapichaa jamaniiiMi mwenyewe nilibakia nimeduwaa mana nilijua lengo lao ni kuhamasisha pia. Hee nikaona makonde mwanzo mwisho.
Na bahati walivyorusha ile taulo mana ambacho kingefuata pale ilikuwa ni ngumi za ukweli ukweli.
HAkuna nlbeef pale.Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.
Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.
Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.
Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?
Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
Wale siyo mabondia.Ndondi zenyewe walizozichapa ni kama za kitaa tu, tena hata hizo za kitaa zina nafuu. Wao wamepigana mithili ya bata au ngumi za Kidawa na Shufaa. Hakukuwa na ngumi za kiume pale.
Shida ni kwamba kadri pambano lilivyokuwa linasonga mbele walizidi kujaa sumu na kuzipiga kiukweli kweli.Wale siyo mabondia.
Walicheza kama bonanza tu. Sasa ulitegemea mtu ambaye siyo bondia azichape kama Mwakinyo?
Mbona wabongo mmekuwa mataahira hivi??
Pale ni ulingoni, ulitaka wakumbatiane tuShida ni kwamba kadri pambano lilivyokuwa linasonga mbele walizidi kujaa sumu na kuzipiga kiukweli kweli.
Nipo rafiki.Hahahaha, Rafiki upo? Miaka nasoma nilikua na ndugu yangu alikua bondia wa Yanga,yeye na George Sabuni ,mazoezi pale pale jangwani ambako sasa hv ni duka
😀😀Japo kapichaa jamaniii
Hahahaha,aisee mie mtu akiwa mjinga namuacha na maujinga yakeNipo rafiki.
Hivyo wanaoshangaa wanabidi muwape hii elimu walijue hili.
Kwa kweeli sababu unaweza tumia nguvu nyingi halafu hata asikueleweHahahaha,aisee mie mtu akiwa mjinga namuacha na maujinga yake
Pale Yanga kulikua na
Boxing
Netball na
Football
Hahahaaa. Rafiki naona umeamua unisindikize na dongo. LolTuliocheza jangwani Yanga B / Kids,tunashangaa Leo hii hakuna uwanja Kuna parking ya magari
Hebu kachezeni nayo hio timu mara tano mfurulizo tuone ukubwa wenuWanafanya wachezaji wa timu ndogo ndogo kwny Rank za CAF hazisomeki..zinazoishia makundi...muda wanao wa kutosha
Vile vitu vipo scripted ni kama wrestlingMi mwenyewe nilibakia nimeduwaa mana nilijua lengo lao ni kuhamasisha pia. Hee nikaona makonde mwanzo mwisho.
Na bahati walivyorusha ile taulo mana ambacho kingefuata pale ilikuwa ni ngumi za ukweli ukweli.
Siku mkiwapiganisha akina Pacome vs Nzengeli hiyo kweli itajulikana ni biashara. Ila hao vilaza wa bongo utakuta wameambulia laki moja moja zingine wamechukua viongozi wa uto.HAkuna nlbeef pale.
Ile ni biashara watu wamelipwa wafanye burudani.
Fanya kazi, acha makasiriko ya kitaahira taahira.
Inaitwa Dar es Salaam Young Africans Sports Club na siyo Football Club.Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya Yanga CAS dhidi ya bodi ya Ligi zote Yanga ilikula mwereka na kuangukia pua, mpaka Mama Samia alipoingilia kati kuiokoa Yanga.
Sasa kitendo Cha Kuwaruhusu hawa Madogo Wa Soka Nkane na Kibwana kuzichapa 'live' kinaonyesha lipo eneo lingine pale Yanga halipo Vizuri... Eneo la Saikolojia.
Vijana hawa wa 'Soka' ambao ndio damu changa pale Yanga maana Wengine wengi ni Wazee inaonyesha hawakupata kabisa Ushauri wowote Wa Kisaikolojia walipokuwa Wanaliendea hilo pambano.
Watu wanajiuliza pale Yanga kipo Kitengo hicho cha Saikolojia? Kama Kipo kina wataalamu wa Saikolojia? Hakuna ushauri Wowote walioutoa kwenda kwa vijana hawa?
Kwa kweli sio kwa kile tulichokishuhudia ulingoni.!
Juha kweli.Siku mkiwapiganisha akina Pacome vs Nzengeli hiyo kweli itajulikana ni biashara. Ila hao vilaza wa bongo utakuta wameambulia laki moja moja zingine wamechukua viongozi wa uto.
Una mtindio wa ubongo?Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.