Maybach 255
Member
- Jan 25, 2020
- 18
- 31
Habari wana JF, natumai mko wazima, bila kupoteza muda, ngoja niingie kwenye mada;
Nakumbuka, muda umepita, niliota kuwa ilikuwa jioni; mwanume, mid-30's, akiwa kajibebeba kijisanduku, anaingia kwenye nyumba kubwa ya kupanga (ina vyumba tofauti tofauti vya wapangaji), ka vile anarudi nyumbani, anafungua, anaingia ndani kukuta vijana wawili, mvulana na michana wanacheza. (Wanatekenyana?) Wanapomuona wanastuka, na yeye anashtuka na kuomba samahani, kisha kutoka nje.
Anaenda kufungua chumba cha pili, anawakuta vijana wale wale wanatekenyana ila wakiwa wamevaa nguo tofauti...na wanapomuona, wanastuka tena, na kabla hajaomba samahani, ndipo ninagundua kuwa mimi ndio huyo mwanaume, na kustuka kutoka ndotoni. Wakati huo nilikuwa na miaka 15. Mpaka leo huwa siielewi.