Ndoto Gani Iliyokutatiza (Sio Lazima Iwe Inatisha) Uliwahi Kuipata?

Maybach 255

Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
18
Reaction score
31
Habari wana JF, natumai mko wazima, bila kupoteza muda, ngoja niingie kwenye mada;

Nakumbuka, muda umepita, niliota kuwa ilikuwa jioni; mwanume, mid-30's, akiwa kajibebeba kijisanduku, anaingia kwenye nyumba kubwa ya kupanga (ina vyumba tofauti tofauti vya wapangaji), ka vile anarudi nyumbani, anafungua, anaingia ndani kukuta vijana wawili, mvulana na michana wanacheza. (Wanatekenyana?) Wanapomuona wanastuka, na yeye anashtuka na kuomba samahani, kisha kutoka nje.

Anaenda kufungua chumba cha pili, anawakuta vijana wale wale wanatekenyana ila wakiwa wamevaa nguo tofauti...na wanapomuona, wanastuka tena, na kabla hajaomba samahani, ndipo ninagundua kuwa mimi ndio huyo mwanaume, na kustuka kutoka ndotoni. Wakati huo nilikuwa na miaka 15. Mpaka leo huwa siielewi.
 
Kuna mtu (simtaji) nimeota anachukua fomu ya Urais ndani ya ccm ameenda kupambana na Magufuli
 
Mh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala
 
Pole, ndugu.
 
Ndoto ya kawaida tu
Mh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliota nimefukiwa kabisa kwenye mazishi

Nikashtuka nikasema tu hapa sina mda mrefu wakati ndo unaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndoto hii haina maana kuwa utakufa nooo but kama haukuwaza kuhusu kufukiwa basi inamaana kuna watu (hawa mostly wanaokujua nje ndani) wamekufukia usipate mafanikio kwenye nyanja zote.... wewe kuwa chini ya mchanga inamaana kutofanikiwa chukua hatua....

Nilikuwaga naota mwanamke anakuja tunafanya nae mapenzi usiku nikiingia tu kulala tena alikuwa anapitia dirishani sikushtukaga mpaka nilipoanza kusali kidogo maana nilikuwa nakosa hata hamu ya kulala

Inategemea mkuu nimewekwa kwenye jeneza kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhusu hyo yako hilo ni jini la kike na kuna uwezekano litarudi tena

Zidisha maombi
 
Back
Top Bottom