Ndoto hii itakuwa na ujumbe gani ? kwetu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Njozi niliyopata ilikuwa hivi..

Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,

gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri wamkamate...

Basi mimi kuona hivo tu kwanza nilifurahi humo mkutanoni nikaanza kuruka na kutembea kwa furaha kumuona Askof, punde kuona wanamkamata Askf. Gwajima nikashuka chini kasi kuzuhia asikamatwe...

Kufika chini Nikaona Njemba moja, nikawaza kwa vile sisi ni wengi wanao mkamata ni wachache lazima tuwazidi na kuwapiga, Kwanza mimi nikawahi chini kuchukua mchanga kwa vile umbo langu dogo nikajua nikimdiba machoni tu na mchanga basiii wengine watapata ujasiri wa kumshambulia,

Ghafla nikaona ni Vijeba vitatu, Ndume tatu kati kati na sisi Wananchi tukawa na hofu ya kuwavamia, nikaona Wananchi Tumeogopa 😢😭

NDOTO HII INATUJUZA NINI NA TUNAWEZA BADILI JAMBO ?
 
HAmwezi kufanya chochote nyie ni waoga

bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

1 Wakorintho 1:27
 
Njozi niliyopata ilikuwa hivi..

Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,

gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri wamkamate...

Basi mimi kuona hivo tu kwanza nilifurahi humo mkutanoni nikaanza kuruka na kutembea kwa furaha kumuona Askof, punde kuona wanamkamata Askf. Gwajima nikashuka chini kasi kuzuhia asikamatwe...

Kufika chini Nikaona Njemba moja, nikawaza kwa vile sisi ni wengi wanao mkamata ni wachache lazima tuwazidi na kuwapiga, Kwanza mimi nikawahi chini kuchukua mchanga kwa vile umbo langu dogo nikajua nikimdiba machoni tu na mchanga basiii wengine watapata ujasiri wa kumshambulia,

Ghafla nikaona ni Vijeba vitatu, Ndume tatu kati kati na sisi Wananchi tukawa na hofu ya kuwavamia, nikaona Wananchi Tumeogopa 😢😭

NDOTO HII INATUJUZA NINI NA TUNAWEZA BADILI JAMBO ?
Hukujinyea
 
Itakuwa ulisoma page ya mange kabla ya kulala, subconscious mind ikaingia hofu ya hali ya juu 😆😆😆
 
Back
Top Bottom