Ndoto hii mara kwa mara

Ndoto hii mara kwa mara

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Habari za humu, it has been a while since my last thread here.

Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi zaidi ya miaka 15 ilopita na Olevel zaidi ya miaka 12 ilopita.

After then nimekwenda advance na University fresh kabisa lakini tatizo ni ndoto, ndoto hii naiota mara kwa mara, yaani nakuwa nipo shule ya msingi nlosoma enzi hizo, either tunasoma kawaida au nafanya mitihani au mara kucheza mpira lakini pia huwa naota nipo shule nlosoma olevel nikifanya daily routine za shule.

NB: s/msingi na olevel ziko mikoa tofauti.

Je, ni kwanini naota hizi ndoto tena mara kwa mara? Sijawahi ota nkiwa chuo au a level?

Asante.
 
Unakumbuka hizo moments maybe rafiki zako wa uko mmepotezana miaka hii. Kuna watu uliwakubali au uliwachukia na hujawaona siku nyingi au huna taarifa nao
 
Unakumbuka hizo moments maybe rafiki zako wa uko mmepotezana miaka hii. Kuna watu uliwakubali au uliwachukia na hujawaona siku nyingi au huna taarifa nao
Sina taarifa nao mkuu
 
Kuna kitu hakiko sawa kwenye maisha yako, Kuna maarifa unatakiwa uyapate ili uvuke hapo ulipokwama, maisha yako yamerudishwa nyuma kwa sababu Kuna maarifa flani huna
Aisee..
 
Same thing to me, wakati mwingine naota naokota hela za silver
Hahaaa... Inasemekana kuwa ndoto ya kuokota hela ni ishara ya umaskini, hiyo ya kuota shule ilhali ulishamaliza ni ishara ya mambo yako kukwama!

Suluhisho, change your lifestyle, Acha tabia mbovu.... yani kwa ufupi mrudie Mungu wako.
 
Utarudi nyuma kimafanikio au kupoteza mambo mengi sana...
 
Mimi ndoto zangu ninazoota mara kwa mara ni hizi
1. Kupaa
2. Kupita sehemu yenye mafuriko makubwa bila kusombwa na maji
3. Nipo uwanjani nacheza mpira then nafunga magoli mengi (ukizingatia mimi siyo mpenzi wa mpira)
4. Nipo porini nachuma uyoga mwingi hadi nakosa kifaa cha kubebea. (Hii ndoto inanichanganya mno)
 
Hii inanitokea sana hata mimi ila naota nipo chuo nilipomaliza elimu ya Diploma
 
Back
Top Bottom