Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Habari za humu, it has been a while since my last thread here.
Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi zaidi ya miaka 15 ilopita na Olevel zaidi ya miaka 12 ilopita.
After then nimekwenda advance na University fresh kabisa lakini tatizo ni ndoto, ndoto hii naiota mara kwa mara, yaani nakuwa nipo shule ya msingi nlosoma enzi hizo, either tunasoma kawaida au nafanya mitihani au mara kucheza mpira lakini pia huwa naota nipo shule nlosoma olevel nikifanya daily routine za shule.
NB: s/msingi na olevel ziko mikoa tofauti.
Je, ni kwanini naota hizi ndoto tena mara kwa mara? Sijawahi ota nkiwa chuo au a level?
Asante.