Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

ACHA dhambi ,Tubu na kuiamini injili na kwamba Yesu ni bwana nanmwokozi wa maisha Yako.UFALME WA MUNGU U KARIBU MAANA HAKUNA AJUAYE SIKU WALA SAA.
 
Jina lako mwenye maviii matupu unawajua wayebusi au unajipachika na kujipendekeza tokana na ujuhaaa na ushambaa mbali na ukumbaff?
Haya, endelea kutukana, tena tafuta matusi makubwa ya kudhalilisha, na kufedhehesha ndio ninayo yastahili
 
Njoo kwenye dini yetu ya wasela. Ndoto kama hizo tunazikemea kwa kuvuta bangi mbichi
 
Mleta mada malaria imekupanda kichwani wahi hospitali hahaha
 
Hii ni DPW
Mama Tanzania ameoewa vipande vya pesa, ameunguza nyumba/nchi.
SUbirini cha moto.

Sasa wananunua ardhi Njombe, wakitoka huko madini, mbuga za wanyama, sgr, umeme, Ngorongoro nk.

Sitaki kei wa lumumba ani quote
😥
 
Nilisikia matajiri hawaotagi ndoto za vitisho kama hizo....

Anyways, back to topic imekuwaje ndoto Yako umeihusisha moja Kwa moja kwenye level ya taifa na sio level ya maisha Yako Binafsi,ya familia au ya ukoo wako?Angalau hapo ulipomuota bibi Yako unaonaje hiyo scene angekuwa Kambarage,au Mzee wa Chato?angalau tungeihusisha na Taifa
 
Hiyo ni pamoja na habari za hamas kwenye ubongo, japo kuna fumbo kuhusu yajayo hapo kwenu
 
Muwe mnakula jioni hizo ndoto zitaacha njaa ina athari nyingi
 
Uyo Bibi yako aliyekupa pesa Yuko hai au amekufa?
 
Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe?
yaani umepata fursa ya kuongea na Mungu ndio ukawa unamuuliza maswali ya kindezi hivi? mkuu hebu lala tena uote hiyo ndoto ukaombe radhi na siku nyingine uwe unauliza maswali yenye tija.
 
huu moto ungeshuka tu uwachome wanasiasa wote wanaoipeleka nchi yetu kwenye matatizo ili tubaki salama. hao wanaotudanganya kumbe wanakula pesa zetu. choma moto hadi wawe majivu.
 
Kweli inabidi ajiombee yeye Binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…