Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Nadhani kaweka hadharani unabii wake ili kututahadharishaKuchwa ndo nini mwanangu? Kama hutaki ushauri hukuwa na haja ya kuweka hadharani nyambiff
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kaweka hadharani unabii wake ili kututahadharishaKuchwa ndo nini mwanangu? Kama hutaki ushauri hukuwa na haja ya kuweka hadharani nyambiff
Asante sanaMoto ni upanga
Nilikuwa namsimulia mama yangu jana vitu kama hivi nilivyoviona (siyo kuviota).
Dhiki inakuja lakini siyo ile tuliyoizoeea.
Tumlilie Mungu
ACHA dhambi ,Tubu na kuiamini injili na kwamba Yesu ni bwana nanmwokozi wa maisha Yako.UFALME WA MUNGU U KARIBU MAANA HAKUNA AJUAYE SIKU WALA SAA.Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.
Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.
Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.
Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.
Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.
Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.
Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.
Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.
View attachment 2789862
Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.
Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.
Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.
Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
Naomba kibarua boss Nina elimu nzuri tuHahahaa, ndoto za masikini zinachekesdha, tatizo ulishiba maharagwe ya Ileje, siku nyingine usile kupita kiasi.
Unajua maana ya unabii au unamchachawia na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mwanangu?Nadhani kaweka hadharani unabii wake ili kututahadharisha
Jina lako mwenye maviii matupu unawajua wayebusi au unajipachika na kujipendekeza tokana na ujuhaaa na ushambaa mbali na ukumbaff?Nadhani kaweka hadharani unabii wake ili kututahadharisha
Haya, endelea kutukana, tena tafuta matusi makubwa ya kudhalilisha, na kufedhehesha ndio ninayo yastahiliJina lako mwenye maviii matupu unawajua wayebusi au unajipachika na kujipendekeza tokana na ujuhaaa na ushambaa mbali na ukumbaff?
Nashuhudia kuwa nimeyaona hayo.Asante sana
😥Hii ni DPW
Mama Tanzania ameoewa vipande vya pesa, ameunguza nyumba/nchi.
SUbirini cha moto.
Sasa wananunua ardhi Njombe, wakitoka huko madini, mbuga za wanyama, sgr, umeme, Ngorongoro nk.
Sitaki kei wa lumumba ani quote
Uyo Bibi yako aliyekupa pesa Yuko hai au amekufa?Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.
Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.
Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.
Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.
Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.
Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.
Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.
Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.
View attachment 2789862
Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.
Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.
Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.
Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
hujamalizia stori yako ULILOA SEHEMU GANI?Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
yaani umepata fursa ya kuongea na Mungu ndio ukawa unamuuliza maswali ya kindezi hivi? mkuu hebu lala tena uote hiyo ndoto ukaombe radhi na siku nyingine uwe unauliza maswali yenye tija.Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe?
huu moto ungeshuka tu uwachome wanasiasa wote wanaoipeleka nchi yetu kwenye matatizo ili tubaki salama. hao wanaotudanganya kumbe wanakula pesa zetu. choma moto hadi wawe majivu.Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu.
Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama.
Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua kubwa sana ikaanza kunyesha.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana nikaamua kwenda nje nitafute sehemu nitakayoweza kujisitiri.
Baada ya kutoka nje hatua chache nikaona maji yametengeneza mto mkubwa sana sehemu ambayo haijawahi kuwa mto. Nikaogopa.
Nikaamua kurudi nilikotoka. Maji yakawa yameongezeka sana, na mara ghafla nyumba ikaanza kuungua.
Nikawa napiga kelele za moto, moto, moto hamna anayeitikia na kuja kunisaidia.
Nikaamua niende kupanda ukuta wa fence, nao ukaanza kuwaka moto.
Sasa moto ukawa unawaka kwenye kila nyumba. Moto unatoka angani, umesambaa kila mahali, hamna pa kujificha.
View attachment 2789862
Moto unashuka mithili ya mvua, nikasema kufa ndio huku.
Nikaanza kumwambia Mungu, kwa hiyo ndio umeamua tufe? Mungu akasema hata wakati wa gharika wapo waliopona.
Hata nilipoteketeza Sodoma na Gomora wapo waliopona.
Nikashtuka na kujikuta nimelowa sana jasho.
Kweli inabidi ajiombee yeye BinafsiUchumi unateketea ni bibi yako anahusika katika kuteketeza uchumi wako na mama na mdogo wako...
Kuota unapewa hela ni umasikini ulikuwa unapewa...
Mungu amekuonyesha adui yako, na amekuonyesha atavyokupigania...
Omba sana Mungu...
Mathayo 10:36
Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake...