Hebu tuitie shemeji aje kumsaidia huku
[emoji3][emoji3][emoji3] Shem mbona unanichekesha na mm kwahiyo auamini jamani shemeji yako kuwa mpendwaShem usinichekesha
Wewe mpendwaaaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana[emoji3][emoji3][emoji3] Shem mbona unanichekesha na mm kwahiyo auamini jamani shemeji yako kuwa mpendwa
Karibu MahondawAsante sana mkuu
yeeeeeesssssssssuuu!!!!!!! ashindwe shetani na mamlaka yake! mimi when I have doubts juu ya kitu fulani mara nyingi huwa kweli sasa kwa case kama hii ya ndoto mhmh! nimewaza sana make pia nikirudia rudia kuzungumzia kitu basi hapo Kuna kitu
Mindset tu. Japo ndoto zenye ujumbe hua na utaofauti sana na hiyo, so hamna haja ya kupata wasiwasi.
Kuna kipindi hata mimi napitiwa na usingizi unaota watu wanakoment tu kwenye mathread vimbwanga kama hivyo😀😀. Na mara nyingine inajirudia. Hasa kama unamawazo mengi na mastress lazima itokee coz nisehem ambayo najumuika na social life 50%
Unajitungia tu sura ya mkaka/mdada mzuriiiiiii. Ndo maana tunakimbianaga tukionanahivi unaanzaje kumuota mtu ambaye hujui kuwa ni me au ke ..mnene au mwembamba...mweupe au mweusi maana humu jf usikute Bujibuji ni ke samahan kaka kwa kukutolea mfano na Shunie ni me ila hatujui sababu yupo nyuma ya keyboard
hyo ni mifano tu ila buji ni kaka yetu wote tunalijua hilo
na Shunie ni mrembo haswaaaa mtoto wa mwananyamala kota huyu....kale ka avatar kako kazaman nimekamis
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiwa mochware anawagonga kina "Masogange" kabla hawajaingia kwenye friji?
Unajitungia tu sura ya mkaka/mdada mzuriiiiiii. Ndo maana tunakimbianaga tukionana
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app