DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mimi huwa nkiangalia video fulani ya Wimbo wa Dj Spinall (NOWO) kuna picha ya mtu fulani wa jf huwa inanijia kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheee wewe.... yaani mimi kuotwa na Shunie ni mbaya..!!?? Unanitenganisha naye ujuwe..!!!Hahahahaha nacheka kama mazuri vileeee mweeeh
Mimi huwa nkiangalia video fulani ya Wimbo wa Dj Spinall (NOWO) kuna picha ya mtu fulani wa jf huwa inanijia kichwani.
Mtu gani shemeji mtajeMimi huwa nkiangalia video fulani ya Wimbo wa Dj Spinall (NOWO) kuna picha ya mtu fulani wa jf huwa inanijia kichwani.
Kheee wewe.... yaani mimi kuotwa na Shunie ni mbaya..!!?? Unanitenganisha naye ujuwe..!!!
Nimekuota wapi mm jamani halafu naotaje avatar fake hata kukujua sikujui jamani hiyo ndoto ishindweHahahahaha nacheka kama mazuri vileeee mweeeh
Hapa napuliza kwanza nikamaliza nakuja kukufafanuliaKhakhakhaaaaaaa. Wee acha tu yani
Hata Mahondaw na yeye kamuota mtu wa JF kwa jina lake la ki-JF... WE NIOTE TU BANAAA... KWANI SHI NGAPI BANAA??Nimekuota wapi mm jamani halafu naotaje avatar fake hata kukujua sikujui jamani hiyo ndoto ishindwe
Mai bby Mzigua90Mtu gani shemeji mtaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndoto yako imenishinda mmHata Mahondaw na yeye kamuota mtu wa JF kwa jina lake la ki-JF... WE NIOTE TU BANAAA... KWANI SHI NGAPI BANAA??
Hutak kuotwaNimekuota wapi mm jamani halafu naotaje avatar fake hata kukujua sikujui jamani hiyo ndoto ishindwe
Kheeee... hata wewe...!!!! Sasa ngoja tukorofishane uje uzibe pengo...amina amina...
Na ninavyopenda mahela sasa shemeji hiyo ndoto hujakosea nitakupunguzia kidogoHutak kuotwa
mimi nilikuota unatoka benk kuu na masandarusi yamejaa dough.