NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

atashinda labda kama africa yote iko kijijini kwenu...
 
Kwa taarifa yako ndugu....kama mh. magufuri asipogombea mwaka 2020 basi ndio Mwisho wa CCM na itakuwa bonge la advantage kwa upinzani. Kwa maana Magufuri ndiye mtu aliyebaki mwenye viashiria vya uzalendo nje ya hapo hakuna wa kumreplace magufuri.
 
unaota mchana, uta phungwa weye!
 
Mie nilivyoona jinsi Mungu wa Lema alivyowekwa gerezani kwa kosa la kumuotesha ndoto Lema dhidi ya watawala wa Dunia hii, nimeacha kabisa utaratibu wa kuotaota. Nimekoma
 
hii issue ni hatari kuliko ile ndoto ya Mh LEMA. Hivi bado upo uraiani ?
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Kulingana na takwimu kwa muda wa miaka 15 hii kikwete ndiye anaekubalika kwa kura nyingi 85%
Awamu ya pili 61% ilihali Magufuli ni 58% ukijumlisha na za MARUHANI.
 
Na iwe ndoto hivyohivyo,atawale awamu zaidi na akitoka aje mwingine kiboko kuliko yeye,binadamu hatuna shukrani.
 
Hii inakuja kwa kasi sana!! Anajimilikisha hati miliki ya Tanzania wakati nchi hii ni yetu sote.....akimaliz 5yrs aende.....zake ameharibu....nchi na uchumi aende zake
Amejimilikisha heka ngapi?
 
Ushindwe!
 
Aliwahi kufanya Sara kasi hizo Lowassa 2010 muulize kilichompata
 
Nyerere aliona mbali sana juu ya kabla lenu-laiti tungefata maono yake yote haya tusingekuwa tunayaongea sa hivi.
Alafy ww jamaa sifuri kabisa huna tofauti na akina polepole tena ww ni mnafiki huna tofauti na mchawi.siku zile magufuli anaongea na waandishi wa habari ulimuuliza magufuli swali kuwa kwa nini anafanya vitu bila kuzingatia katiba hapa unasema eti unapenda hata katiba ibadilike aendelee kutawala
 
Achana na ndoto ww, wako wapi wafuasi wa lowassa waliohamia chadema na tunajua karibu wa NEC wote walikua wake? Unadhani nani yupo tayari kushuhudia mwisho wake kisiasa endapo jaribio la kumpiga chini likifeli?
Mura serikali ni serikali acha ifanye kaz yake
 
Hivi ww unajua hata nchi inavyojiendesha kweli
 
NDOTO YAKO NI YA UKWELI ILA IKO KINYUMENYUME, UKWELI TUNAWEKA MKAKATI WA KUFUTA KIPENGELE CHA MIAKA 10 ILI KUWA 20, HIVYO KIMSINGI JPM ATAKUWA RAISI WA MUHULA MMOJA WA MIAKA HIYO 20, HADI MWAKA 2035
 
Huu muandiko ni wa mtu asiye na mihemko, safi sana wape hongera waliokupeleka shul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…