NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...


Tangata,
Je,unajua kuwa ni uchochezi na nikosa la jinai KUOTA NDOTO inayo mhusu Rais JPM kwa namna yoyote ile?
Mwulize Mhe.Lema atakujuvya vizuri!!
Leo ni mwezi wa 4 yuko mahabusu kwa ndoto kayako!
Wasije wakakujua tu maana ni Hatari sana!!
 
wajaribu kumzuia asigombe awamu ya pili waone...kwani hawajui kwamba hajaribiwi?
 

Yeye anakosea kila siku! alafu kumbuka matatizo na machungu na matatizo ya ndoa wanayajua wanandoa wenyewe..
 
Chuki yuko wapi hapo? Nimeuliza swali wewe unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Jibu swali:

Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
Huwezi kuwa na jibu la uhakika la swali lako!Maana yawezekana kuna majaribio mengi yaliwahi pangwa lakini hayakujulikana wala kuwahi tajwa!
 
Kwani anayewakamata lema na tundu ni raisi?. Sasa naanza kujua uwezo wenu wa kuchanganua amambo ukoje
Alafu unafikiri umetumia akili nyingi!!!unajitia hujui kuwa hao kina lema wako ndani kwasababu ya mamlaka take?
 
Kwahiyo umetuwekea huu uzi ili tujadili ndoto zako? ni kutupotezea wakati kama ulichokiandika source yake ni ndoto uliyoota hasa baada ya kula na kuvimbiwa makande yenye mchanganyiko wa kunde na njugu mawe.
 
Sio ndoto nani atalichagua tena
 
Upo sahihi ila wachache watakuelewa huo ndio ukweli wenyewe kwa mara ya kwanza chama kitakuwa na wagombea wengi 2020 tatizo la faru John anaona kama vile anaonewa kumbe watu wanatumia haki yao ndani ya chama na katiba chama inaruhusu mtu yeyote kugombea uraisi kwa fuata taratibu ndani ya chama.
 
Umeota ngoja tuje tukuongezee na mkia maana, ili wewe uje kuwa rais kama umeona jpm hafai
 
Ni hisia zenu tu BT no body after him inside the party and outside na uongozi wake utakatishwa na ktba bila hivo angeongoza miaka10000000000.....
Infinite
 
Mkuu ellyrehema nabii cku zote hakubaliki kwao, wataongea sana binafsi nampongeza sana rais Jpm
 
My dear,Tanzania hiyo itakuwa ni ya kwako na huyo rais wako tu.
 
Alafu unafikiri umetumia akili nyingi!!!unajitia hujui kuwa hao kina lema wako ndani kwasababu ya mamlaka take?
Vilaza hawawezi kuelewa. Kwasababu imetumika indirect way. Hapo ni the ya spoon feeding washazoea direct ukipiga kona moja umeacha mtu nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hajui kwa kwenda hawezi kuelewa kamwe
 
Samahani,naomba nielezee mazuri yake mi sijayajua bado
 
Hayo maelezo yoote ni ndoto!!
 
Wakati huo anapigwa chini mwenyekiti wa CCM atakuwa ni nani?Mbona kuna vitu havihitaji ramli wadau?JPM ndiye mwenyekiti wa CCM Taifa, inamaana ataidhinisha jina lake likatwe?Is It Possible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…