Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.
Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Tangata,
Je,unajua kuwa ni uchochezi na nikosa la jinai KUOTA NDOTO inayo mhusu Rais JPM kwa namna yoyote ile?
Mwulize Mhe.Lema atakujuvya vizuri!!
Leo ni mwezi wa 4 yuko mahabusu kwa ndoto kayako!
Wasije wakakujua tu maana ni Hatari sana!!